Wasanii matajiri zaidi barani Africa 2024
LIFESTYLE

Wasanii matajiri zaidi barani Africa 2024

Wasanii matajiri zaidi barani Africa 2024
Wasanii matajiri zaidi barani Africa 2024

Afrika ni nyumbani kwa watu wenye vipaji vingi, hasa katika upande wa muziki. Kuna idadi kubwa ya wanamuziki wenye mafanikio katika bara hili ambao wameacha alama yao kupitia kazi hiyo.

SIMILAR: Highest Paid Actor in Africa

Kwa mujibu wa Netizens Report, Youssou N’Dour mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mwanamuziki maarufu kutoka Senegal ndiye msanii tajiri zaidi barani Afrika akitajwa kuwa na utajiri wa TZS bilioni 370.5.

Gwiji huyu anajulikana kwa sauti yake ya kipekee na mchango wake mkubwa katika muziki wa Afrika, hasa mchanganyiko wa muziki wa Kiafrika na wa kisasa. N’Dour pia ni mwanasiasa na mwanaharakati wa haki za binadamu, ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Utamaduni na Utalii wa Senegal kati ya mwaka 2012 na 2013.

List ya Wanamuziki 10 wenye utajiri mkubwa zaidi Afrika mwaka 2024

1. Youssou N’Dour -$145M (TZS bil. 370.5)
2. Akon -$80M (TZS bil. 204.4)
3. Black Coffee -$60M (TZS bil. 153.3)
4. Wizkid -$21M (TZS bil. 53.7)
5. Davido -$20M (TZS bil. 51.1)

6. Don Jazzy -$18M (TZS bil. 45.9)
7. Burna Boy -$17M (TZS bil. 43.4)
8. 2Face Idibia -$16.5M (TZS bil. 42.2)
9. Paul Okoye -$16M (TZS bil. 40.9)
10. Timaya -$12M (TZS bil. 30.6)

Kutoka Tanzania, Diamond Platnumz anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya $5 Million (TZS bilioni 13).

SOURCE: Simulizi na Sauti

Leave a Comment