Alikiba Ft Marioo – Top Notch Lyrics
Tanzanian singer-songwriter, footballer, and the owner of Kings Music label, Ali Saleh Kiba, better known as Alikiba, came back with a new banger titled Top Notch, featuring Marioo. The song highlights the perfect fusion of Alikiba’s signature style and Marioo’s fresh sound, making it an instant hit.
SIMILAR: Alikiba – Nahodha
Top Notch Lyrics by Alikiba Ft Marioo
Yeah…
Mmmh…
Aaaaaah….
Asubuhi ana niitaga my love
Mchana ana niitaga baby “baby”
Usiku ana niitaga wa ubavu
Alafu mi mwenyewe mi, ye ndo
tamu yangu ah
Akiamkaga anasema ananipenda
Hawezi kuniacha
Hata apewe nini, hawezi kunia ah
Amesema mi wa mwisho kunipenda ah
Hawezi kuniacha, ah Hata apewe nini,
hataki kuniacha….
For the head to the toes
We bado top notch
Baby girl nikiwa kwako najipata
Am a city boy ila we ni masta
Ukigusa ukiniita yani tam tam
For the head to the toes
We bado top notch
Baby girl nikiwa kwako najipata
Am a city boy ila we ni masta
Ukigusa ukiniita yani tam tam
Yeah
Shikamoo shika roho
Jemapel Ali K
Wacha waone nakuganda nakupenda kama holiday
Kwanza unavyonipea, mambo mazuri mambo yeah
Kuna level i want show you
Loving you i swear and i dere
Unawaringia ringia ukiona wanalia wanaumia
Usipagawe na madudu kwani mi ndo baba yao
Okay babe ringa nivimbe,
we share body
we are one body
Me want no body
Your my body
You my fantasy
You my everything girl
For the head to the toes
We bado top notch
Baby girl nikiwa kwako najipata
Am a city boy ila we ni masta
Ukigusa ukiniita yani tam
Balaa balaaa balaa”yeah”
Balaa balaaa
top notch
Balaa balaa balaa “yeah”
Balaaaa balaaa ” top notch”
Balaa balaa balaa “yeah”
Balaaaa balaaa ” top notch”
Balaa balaa balaa “Yeaah yeah
Balaaaa balaaa ” top notch”
Alikiba Ft Marioo – Top Notch Mp3 Download
Check More Hits Song Alikiba;