LYRICS

Alikiba – Mvumo Wa Radi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Alikiba - Mvumo Wa Radi
Alikiba – Mvumo Wa Radi Lyrics

Tanzanian artist Alikiba comes through with a powerful new track titled “Mvumo Wa Radi”, taken from his 2019 standalone single released under Ziiki Media.

SIMILAR: Alikiba Ft Jay Melody – Hatari

Mvumo Wa Radi Lyrics by Alikiba

Yoh
Ahaa
This is the guy
We are always pop to the top
Man water

Naanza na hii, sifa yangu mkweli
Misifa mingi na ukwezi, mi sina makuzi
Ntakupenda wewe
Ntampenda mama
Na baba yako
Na ndugu zako

Ntakupa mapenzi mimi
Wamvungule mvungule
Hujawahi pewa
Wamvungule mvungule
Nataka wasikie
Wamvungule mvungule
Kwa mvumo wa radii

Tatizo lako sheri
Unanistaajabishaga
Unavyonipendaga kweli
Roho inaniuma
Wivu naona
Mi naumia
I’m in love wewe
Nampenda sana

Tupendane
Tupendane penzi liwe sawa sawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo nyingine yende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa
Tupendane kama mabata na mamba (na mamba)
Na siku zote tuishi kwa furaha

Tupendane ba Kongo, Tanzania
Uganda, Kenya
Burundi na Rwanda
Na Zambia mpaka
Mozambique, Ghana mpaka Nigeria
Cameroon
Sudan mpaka Somalia
Africa Africa nzima tupendane

Tupendane
Tupendane penzi liwe sawa sawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo nyingine yende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa
Tupendane kama mabata na mamba (na mamba)
Na siku zote tuishi kwa furaha
Tuishi kwa furaha
Tupendane

Uwe wangu wa moyoni
Ukisikia homa, ile homa ya jiji ni wewe
Wanajiita ma sponsor my love
Wasikuzingue
Wanajiona ma bosslasy
Maboss baby
Tena wife material, my honeybunny

I never knew we unabana
Wengine wote wanaachia yaah
Wamvungule mvungule
Wamvungule mvungule
Ntakupa mapenzi mimi

Tupendane
Tupendane penzi liwe sawa sawa
Lisiwe nusu na robo kwa kilo
Penzi robo nyingine yende kule
Nataka yote mapenzi kwa kilo ahaa
Tupendane kama mabata na mamba (na mamba)
Na siku zote tuishi kwa furaha

Alikiba – Mvumo Wa Radi Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment