Amini – Robo Saa Lyrics
A Tanzanian artist, singer, songwriter, and Tanzania House of Talent (THT) member better known as Amini is coming back with a new hits song titled Robo Saa. Below are the Robo Saa Lyrics written and performed by Amini.
SIMILAR: Amini Ft Linah – Nimenasa
Robo Saa Lyrics by Amini
Niliwahi kuongea nae kwenye aimu kidogo
Sasa hataki akiniona ananipa kisogo
Mueleze nampenda, moyoni nina kidonda
Ye dawa aje niponywa, milele niwe mzima
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie aje kwangu anijue
Maana hakuna shida wala njaa
Jua kwa mbali na upopo mzuri
Furaha tupu machozi marufuku
Nitakua mwema kimatendo hata maneno pia
Nitalitunza penzi lake nje halitotolewa
Mwambie (usimfiche), bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche), bado robo saa (minife)
Niliwahi kuongea nae kwenye simu kidogo
Sasa hataki akiniona ananipa kisogo
Mueleze nampenda, moyoni nina kidonda
Ye dawa aje niponywa, milele niwe mzima
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Nimependa moyo wangu usipopendwa
Nimezama nahitaji okolewa
Nilijua nitapendwa nikaezeka dunia
Akaniacha na vidonda kwenye mapenzi ya dunia
Nimependa moyo wangu usipopendwa
Nimezama nahitaji okolewa
Nilijua nitapendwa nikaezeka dunia
Akaniacha na vidonda kwenye mapenzi ya dunia
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Niliwahi kuongea nae kwenye simu kidogo
Sasa hataki akiniona ananipa kisogo
Mueleze nampenda, moyoni nina kidonda
Ye dawa aje niponywa, milele niwewemzima
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Maumivu hayatokwisha moyoni
Na furaha hutoiona usoni
We jua aah aah aah aah
Naumia aah aah
Aah aaah aaah aah
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Mwambie (usimfiche)
Bado robo saa (minife)
Amini – Robo Saa Mp3 Download
More hit song from Barnaba;