Anjella Ft Harmonize – Kama Lyrics
Tanzanian Upcoming young female Bongo Flava recording currently signed under Konde Gang worldwide label, known as Anjella, drop an new hits song titled as Kama.
SIMILAR: Harmonize Ft Anjella – All Night
Kama Lyrics by Anjella Ft Harmonize
[Intro]
Hahahaha jeshii
(Sound by Abbah) konde boy
Mmmmmh huyeyeeee eeheeeheeeh
[Verse 1]
Kwanza namuomba mungu uwe kwel
Nipate wakunipenda aniridhie ku moyoo (wouuuuoooo)
Aniepushe na matapel wale wakula na kwendaaa
Mimi nimeubwa na choyooo
Aridhike na changu kidogo changamaaa
Asiwafate madanga (mmmmmh)
Shida zake ziwe zangu
Had kesho kiamaaaa
Tupate na vifarangaa
Sifa ya mume jando jando, kiuno kiwe mgando gando
Akimimima aijaze ndooo nimng’ang’anieeee
Mchungaji mi kondooo kondoo, vita yangu mi komandoo mando
Michepuko aiweke kandoo wasiniibieeee
[Chorus]
Kama ni kiiii (kama nikimpata)
Kama nikimpata (kama nikimpata kama nikimpata)
Nitampeleka kwa mamaaa
Kwa mama kondeee (kama nikimpata)
Kama nikimpata kama nikimpata
Kwa mama yake na jeshii (kama nikimpata)
Nitampeleka kwa mamaa
[Verse 2]
Uzuri wa mukee tabia sura shepu vinachangiaaa
Musafi kutakata kifuani pawe dodo
Tena awe anatulia
Yani asiwe kiruka njia anipe ninachotaka kitandani kwenye gododoroo
Tena naahidi nyumbani nitarud mapema
Bahati mbaya nikichelewa nitasema sorry
Naye aniahid atakuwaga chenda chemaaa
Namaanisha sita gongewaaa
Wana wasinicholeee
Insta kufollow warembo kawaida itabiidi azoeeeehh
Sio maswali kama niko Nida sipendagi mayoweeee
Kondom akikuta mfukoni asiulize za kazi ganii
Simu nikapokeee chooni asiulize baby ni Nan?
Et mbona umeganda online unachani na Nani?
Hata za mwizi arobain akinifuma aone tu utanii
[Chorus]
Kama ni kiiii (kama nikimpata) iiiiiii
Kama nikimpata (kama nikimpata)
Nitampeleka kwa mamaaa
Kwa mama kondeee
Kama nikimpata kama nikimpata
Kwa mama yake na Abbah (kama nikimpata)
Nitampeleka kwa mamaa
[Verse 3]
Aijalishi awe mwembamba munene (nampenda penda)
Nachotaka pochi liwe nene (nampenda pendaa)
Napendaga wenye mapembe (nampenda penda) mmmmmh
Ajue kunidekeza (nampenda penda)
Pakavu anapalegeza (nampenda penda)
Vurugu za kifimbo cheza (nampenda pendaa)
Ooooh nitampendaaa eeeeh
Kitandani asiwe gogoooo (nampenda penda)
Anifikishe kwa mgogooo (nampenda penda)
Utamu mpaka kwa kisogo (nampenda penda)
Nani nampendaaa
Shida zake ziwe zangu (nampenda penda)
Aridhie na hali yangu (nampenda penda)
Awapende ndugu zangu (nampenda penda)
Aaaah nitampenda
[Outro]
Angellaaa Konde music world wide lalalilalah
(Mix killer) Abbah
Anjella Ft Harmonize – Kama Mp3 Download
More hit song from Harmonize;
