Billnass Ft Whozu – Kwa Leo Lyrics
LYRICS

Billnass Ft Whozu – Kwa Leo Lyrics

MP3 DOWNLOAD Billnas ft Whozu - Kwa leo
Billnass Ft Whozu – Kwa Leo Lyrics

Popular Tanzania hip hop artist and serial hitmaker, Billnass came through with another stunning banger titled Kwa Leo, Featuring Oscar John Lelo better known by his stage name Whozu, a Tanzanian singer, songwriter, and Entertainer. Below are the Kwa Leo Lyrics written and performed by Billnass Ft Whozu.

SIMILAR: Whozu x Baddest 47 – Pwaah

Kwa Leo Lyrics by Billnas ft Whozu

Mlinzi nishapata ngao, nalinda pakubwa
Kanipandisha dau, nakula vikubwa
Na lips mshangao, vidigidigi sitaki tena
Yezaa man yeza yeza
Nikikumiss nashindwa hata kusubiri
Una vionjo mpaka nimevikariri
Una manjegeke mama sio poa
Call me daddy
Nipe kwachukwachu ma, nikulishe muhogo
Fatuma, shuka chini kidogo
Usinipe vya kupima nusu ama robo
Kununa ntakulenga kwa nyodo

Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa

Nataka piga deki kile kile kisima
Aga Khan Aga Khan pale mzizima
Unavyorindima, niko winji ma
Kucheza geji mwendo flani wa kupima
Amina, unaniacha hoi ukilowesha kanga
Zima koroboi nataka kupanda, mambo ya panga boi madoido Tanga
Wazimu unanipanda jama (panda)
Stimu inayoyoma mama (panda), mikao flani ya bodaboda dada (panda)
Hata kwa ngazi double deka jama (panda)
Billnas Billnas
Nipe kwachukwachu ma, nikulishe muhogo
Fatuma, shuka chini kidogo
Vya kupima nusu ama robo
Ukija kununa ntakulenga kwa nyodo

Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa

S2kizzy baby

Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (oh mama) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa (we dada) kwa leo
Kwa kwa kwa kwa leo
Kwa kwa kwa

Billnass Ft Whozu – Kwa Leo Mp3 Download

Get More Hits Song From Nandy;

Leave a Comment