Diamond Platnumz – Kuna Lyrics
A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba, came through will a new released song titled Kuna.
SIMILAR: Diamond Platnumz – Nitafanyaje
Kuna Lyrics by Diamond Platnumz
Wenzako waolewa, we huolewi kwani we
Ati una hila moja, husemi na majirani we
Sema na hila ya pili, ukihongwa hufanani wewe
Sema na hila ya tatu, midabwada kiandani we
Sema na hila ya nne, mwenzetu mchafu ndani we
Kanijengee kibanda kwetu eeeeh eeeh eh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua
Kanijengee kibanda kwetu eeeh eeeh eh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua
Kanijengee kibanda udugu wangu eeeh eeeh eh
Kanijengee kibanda shoga zako wataniua
Kanijengee kibanda kwetu eeeh eeeh eh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua
Lalilo lilo
Eeeeh, pambe tu!
Lolololo lolololo!
Lali lali lalii, laa lalii
Lali lili, lalii
Ooooo oh! Jani hilo
Jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa, lakini wewe umezidi
Jani hilo, jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote zoazoa, lakini wewe umezidi
Ooooh ooh oh! Jani hilo
Jani la mua eeeh eeh eh!
Watu wote wanagawa, ila mwenzetu umezidi
Acha nicheze mie na watu wangu
Jangwani nalia
Acha niringe mie na watu wangu
Jangwani nalia
Aaaaah aaah ah
Acha nijishaue shaue na watu wangu
Jangwani nalia
Ooooh lolilo lilo
Eeeeh!
Kuntu mambo hayo
Alololololo
Lolo lololoooo
Aaah eeeh mama mwanangu
Ooooh mama mwanangu oooh
Aaah mama mwanangu
Eeeh mama mwanangu eeeh!
Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui
Waniacha napinda mgongo we, mbona usiniambie
Jamani mi naumwa
Eeeh eeeh eh, naumwa
Naumwa oooh ooh oh
Naumwa aaah, naumwa
Naumwa kijipu upele we
Naumwa huniambii pole
Oyaa mwafulani weee khaaa
Oooh mwafulani usitukame
Dangaji nakuambia aaah
Huo udangaji kauanza dadayo kuutumia
Ukiona mwana wa mwenzio budege
Na wako vilevile
Wa wako vilevile
Ukiona mwana wa mwenzio mchele
Na wako vilevile
Wa wako vilevile
Nipeni barua yangu niisome
Jamani barua yangu niisome
Barua ya bwana ndani eeh noisome
Barua ya bibi ndani eeh noisome
Barua mama barua aah eeeh eh eh
Ooh nyie wana Dar es Salaam
Embu achene umbumbumbu
Sharti ni kuinama ukitaka cha uvungu
Asa mbona wapata bwana halafu humpi
Naombe barua yangu noisome
Jamani kuna kitiji
Kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona cha simama
Ujue chataka haja
Ukiona kimelala
Kisha chafua mapaja
Jamani kuna mama – kunaa
Kuna nazi – kunaa
Kuna kinyume nyume – kunaa
Kuna kimbele mbele – kunaa
Kuna kati kwa kati – kunaa
Jamani kampata sharubaro
Jamani kampeleka nyumbani
Muda wa kumpa mambo kamvalia miwani
Kule hakupaona, kafanya kwa pajani
Udangaji udangaji
Wenzako wapewa nyumba kwa magari ya injini
Hivi we dangaji gani hadi leo walala chini
Jifunze kukuna kunaa
Kwa kushoto – kuna kunaa
Kwa kulia – kuna kunaa
Haya kuku ku kuku kukuku ku ku kuku kuku
Eeeh ku, eeeh ku, eeeh ku ku kuk ku
Utaniweza wapi
Utundu nimeanza zamani mie
Kuchepuka nimeanza zamani mie
Madanga nimeanza kitambo mie
Mjini napajua kitambo mie
Hasa nataka dodoa – haya dodoa
Nataka katika – haya katika
Jama najojoa – haya jojoa
Hamu yanishika – haya dodoa
Mama nataka nilewe
Ngoja nilewe
Nikishaanguka pombe utakunywa wewe
Jamani mnazi unakatika
Ooh mnazi unakatika
Ukitaka kukatika hukatika
Kati kati, kati kati
Khaaaa!
Diamond Platnumz – Kuna Mp3 Download
More hits song from Diamond Platnumz;