LYRICS

Diamond Platnumz – Msumari Lyrics

MP3 DOWNLOAD Diamond Platnumz – Msumari
Diamond Platnumz – Msumari Lyrics

A Tanzanian artist, singer and songwriter, Diamond Platnumz has continued to impress fans with his unique style and creativity. Over the years, he has released several projects that showcase musical growth and versatility. His latest release titled Msumari.

SIMILAR: Diamond Platnumz x Masterpiece YVK Ft Xman RSA & Lintonto – Down

Msumari Lyrics by Diamond Platnumz

Eyoo Trone

Mmh. Niutoto tu ila mie kwako sipindui.
Ndio maana usiku nikinuna najichekesha subuhi.
Ni ujinga tu ila mie kwako faala.
Ndio maana usipopokea simu, siwezi kilala.

Mmh. Umenifunza tofauti ya kupenda na kupendana.
Na kuongea sauti hata macho usema sana.
Na mapenzi yanataka imara kua miniana.
Nami kwako sina shaka, E wangwa utachofanya.

Na hivi vinzi vyakuzengea wizi, vikijanga hizi visiku ne amani.
Lala usingizi, upepo pandizi.
Mie mambo ya wazizi, ya kuvya kazi gani baby…

Hapo hapo ilipo mbao, hongelea na msumari.
Ooh penzietu tuboreshe, hongelea na msumari.
Nileze kane pati hani, hongelea na msumari.
Vue chukisi penye shukisomie.
Mmmmh.

Ooh njiwa nenda njiwa, njiwa peleka salamu.
Peleka salamu, naivasha kivule Mombasa zifike Lamu.
Njiwa nenda njiwa, njiwa peleka salamu.
Zenda mpaka kwa yule lonitesa mwanaram.

Sialisema mimi sitopata wathamani.
Asaini mimi muulize huyu nani.
Wamebaki kutabiri, sipune tutaachana.
Wameso kwa penzi hili, mbona wataroga sana.

Navi hivi vinzi vyakuzengea wizi, vikijanga hizi visiku ne amani.
Lala usingizi, upepo pandizi.
Mie mambo ya wazizi, ya kuvya kazi gani baby…

Hapo hapo ilipo mbao, hongelea na msumari.
Ooh penzietu tuboreshe, hongelea na msumari.
Nileze kane pati hani, hongelea na msumari.
Vue chukisi penye shukisomie.
Mmmmh.

Wasafi Records.

Diamond Platnumz – Msumari Mp3 Download

More hits song from Diamond Platnumz;

Leave a Comment