Goodluck Gozbert – Kina Muuma Lyrics Goodluck Gozbert – Kina Muuma Lyrics — kichwahits
LYRICS

Goodluck Gozbert – Kina Muuma Lyrics

MP3 DOWNLOAD Goodluck Gozbert - Kina Muuma
Goodluck Gozbert – Kina Muuma Lyrics

Tanzanian Gospel artist and “Shukrani“ hitmaker, Goodluck Gozbert is back with another stunning banger titled  Kina Muuma, a number one song from his extended playlist titled Ushindi Ep.

SIMILAR: Goodluck Gozbert – Kama si Wewe

Kina Muuma Lyrics by Goodluck Gozbert

Kinamuuma shetani kinamuuma
Kinamuuma shetani kinam
Amengoja zamani aninase na kamba
Amehaibika ningali chini ya Mwamba
Tena nashangaa alitumia wanadamu
Mi nina Mungu amewatoa manundu
Wale wachawi mabonde radi zilizotumwa
YESU alinibeba mbawani mwake
Kwanza ngoja nicheke

Hahaha hahaha
Nicheke tena
Hahaha hahaha
Kwanza ngoja nicheke
Hahaha hahaha
Nicheke tena

Hahaha hahaha
Kinamuuma kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Aah Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Aliozuia yote yameshindikana aah
Wanaoana amekasirika (Kinamuuma)
Aliochonganisha wamepatana (Kinamuuma)
Wale aliopanga wafe anawaona tena kazimia aah
Wampepee (Wampepee pepee)
Tena wampe na pole (Pepee Pepee)
Aiiih ameshinda tena YESU (Amen Amen)
Ameshinda na vita (Amen Amen)
Kinamuuma kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Ati Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)

Anaona aibu
Anapita kwa mbali
Alinisukuma sana nianguke nimekataa
Akatuma majeshi yakakuta majeshi
Kimeumana akachapwa anashangaa
Huyu ni Mungu gani (Aye)
Anauweza gani (Aye)

Anarejesha yani amani namshangaa
Kwanza ngoja nicheke
Hahaha hahaha
Nicheke tena
Hahaha hahaha
Ati kwanza ngoja nicheke
Hahaha hahaha
Nicheke tena
Hahaha hahaha

Kinamuuma kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)
Kinamuuma (Kinamuuma shetani kinamuuma)

Eiye yeh
Watu wametoboa maisha yanaendelea
Wametoboa toboa toboa
Watu wametoboa Mungu kawatetea
Wametoboa toboa toboa

Goodluck Gozbert – Kina Muuma Mp3 Download

Other related tracks from Goodluck Gozbert;

Leave a Comment