Harmonize Ft Rudeboy – Best Couple Lyrics
Tanzanian artist Harmonize comes through with a romantic anthem titled “Best Couple”, featuring Nigerian superstar Rudeboy. The song combines tender lyrics celebrating love and unity with polished Afropop instrumentation, making it a perfect soundtrack for couples and romantic moments.
SIMILAR: Harmonize – Amelowa
Best Couple Lyrics by Harmonize Ft Rudeboy
Bomboclaat
Rude
Honey, sweetie, baby
Jina gani linakufaa
Nikuite mpaka kufa
My own, je’taime
Mubebeee
Jina gani la pekee
Nikuite wewe pekee
Nishajifanya ukiburi
Kugombana na weee!
Ila kipimo changu cha uzuri
Mtu anafanane na wee
Umaarufu pesa changamoto
Ukiwa navyo ungali mtoto
Kukuoa we nikama ndoto
Hahisi kama nimeshinda lotto
Na nilicho gundua
Couple yetu inabamba
Ooh, yabambaa
Hata liwake inyeshe mvua
Mi nawe sambamba
Ooh, sambamba
Wewe ni wangu mamaaa
Couple yetu ina bamba
Ooh, ina bambaa
Tuombe dua
Mimi na wewe sambambaa
Ooh, sambamba
Bomboclaat
There is something about you
Girl, I can’t live without you
There’s no secret inside you
When I’m standing beside you
You’re my beautiful onyinyee
Ifomame
I’m feeling you every day
Iyee eh chiomame
Now, you make me fall in love
Obimooo ooh
Anticipate your special touch
Obimooo ooh
If I could define the way I feel
Kuja kwako wee, eeh
E makwana ife dinma gana di
Finally on the way
Ichoro erapu ndi nwa
Couple yetu inabamba
Ooh, inabamba
Hata liwake inyeshe mvua
Mi nawe sambamba
Oh, sambamba
Wewe ni wangu mamaaa
Couple yetu inabamba
Oh, ina bambaa
Tuombe dua
Mi na wewe sambambaa
Ooh, sambambaa
A’udhu billahi min ash-shaytaan ir-rajeem
Hata tukikesha club asubuhi tuko gym
Nampenda tena namuheshim
Mkata shombo ukipenda muite ndmiu
Bomboclaat
Mamacita
Te quiero tocar mi amor
More hit songs from Harmonize;