Harmonize – Na Nusu Lyrics
LYRICS

Harmonize – Na Nusu Lyrics

MP3 DOWNLOAD Harmonize - Na Nusu
Harmonize – Na Nusu Lyrics

Harmonize, a renowned Tanzanian recording artist and multi-award winner, has recently delighted fans with the release of his latest hit song titled “Na Nusu.” As a serial hitmaker associated with Konde Music WorldWide, Harmonize has consistently delivered chart-topping tracks that showcase his musical talent and unique style.

SIMILAR: Harmonize Ft Bobby Shmurda & Bien Sol – I Made It

Na Nusu Lyrics by Harmonize

Bboy beats

Hmmmm ooouuuuh
Eeeeeeh
Mwanamke ni mtu na nusu mmmh
Kukatishwa tamaa usiruhusu mmmh
Mwanamke ni mtu na nusu
Kurudishwa nyuma usiruhusu mmmh
Na kama mwanaume ndo kichwa cha familia
Basi mwanamke ndo shingo na kiwiliwili
Amani ya mume aliyebora inatengenezwa na mke

Anapoianza siku
Hata furaya ya mume aliyebora inakamilishwa na mke
Ifikapo usikuu
Si ujinga et kukubali matokeo ooh ohh
Na sio swala la kupinga
Wanatuzidi upeo ooh ohh

Ingekuwa hiari yangu mimi ningewapa kila cheo ohh ohh
Muadilifu kama mama yangu sijamuona mpk leo ohh ohh

Samia suluhu ni mtu (na nusu)
Mboni mpaye mpango ni mtu (na nusu)
Mariam mwinyi ni mtu (na nusu)
Merry majaliwa ni mtu (na nusu)
Dkt tulia ni mtu (na nusu)
Anna makinda ni mtu (na nusu)
Mmmh mmmh
Bibi titi ni mtu (na nusu)
Sophia kawawa ni mtu (na nusu).

(Instrumental)

Patakucha litazama hadi ipite kiama
Hutomuona kama mama mama eeh
Mwanamke ni kiumbe jasiriiii
Ama ndiye Mungu wa piliii
Ile miezi tisa ni siriiii

Baba asingeweza hata miwiliii
Hata uwe tajiriii
Kamwe huwezi kuwa na mama wawili, wawiliii
Mume ataoa wawili, wawiliii
Mwanamke hawezi kuwa na wawilii, wawiliii fikirii

Si ujinga kukubali matokeo ohh ohh
Na sio swala la kupinga
Wanatuzidi upeo ohh ohh
Ingekuwa hiari yangu mimi
Ningewapa kila cheo ohh ohh
Muadilifu kama mama konde sijamuona mpaka leo ohh ohh

Maria nyerere ni mtu (na nusu)
Bi fatuma karume ni mtu (na nusu)
Siti mwinyi ni mtu (na nusu)
Mama anna mkappa ni mtu (na nusu)
Salma kikwete ni mtu (na nusu)
Janeth magufuli ni mtu (na nusu)
Getrude mongela ni mtu (na nusu)
Bi mwenda ni mtu (na nusu)
Bi kidude ni mtu (na nusu)
Mama khadija kopa ni mtu (na nusu)

Yawh yawh
Konde boy call me number one, number one
Tc konde music worldwide
Bboy

Harmonize – Na Nusu Mp3 Download

More hit songs from Harmonize;

Leave a Comment