Harmonize – X Lyrics
Harmonize, the Tanzanian artist, has recently released a new song titled “X.” The track blends catchy Afrobeat rhythms with his signature Bongo Flava style, showcasing his evolving musical range.
SIMILAR: Harmonize – Ujana
X Lyrics by Harmonize
(Cough…)
Bomboclaat!
(Beat starts…)
It’s Konde Boy, call me Number One!
Kimamba on the Beatz!
[Verse 1]
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Nikimwona analewa, namuelewa
Anajiona kachelewa, age go
Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa, age go
Ohhh… uuhhh… ohhh!
[Chorus]
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
NEVER!
[Bridge]
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[Verse 2]
(Mh) Ibiza, Miami, mbali
Hajapelekwa hata Zanzibari
Hapo Kizimkazi aka enjoy
Low budget
Dubai hatoboi
Anasikitisha X
Kama embe la mti wa porini
Anajipitisha X
Amekosa wa kumuweka mjini
Nikimwona analewa, namuelewa
Anajiona kachelewa, age go
Na bado hajapewa
Viuno alivyopewa
Anajiona kachelewa, age go
[Chorus]
Nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
Hivi nani kasema X wangu ana enjoy?
Nani kasema anapata raha?
NEVER!
[Bridge]
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
Vanamahako, twende kwalidu kula
Nikatamwa, nguyopa chalidu chila
[Outro]
Aaahhh… Bomboclaat!
It’s Konde Boy, call me Number One!
Bakhresa
Ahhhiii
Konde Music Worldwide!
Eh! Sikumpenda tu, nilimtukuza
Nikala bata bila kumchunguza (babe)
Mambo madogo akayakuza
Eti kisa upendo akaniburuza
Harmonize – X Mp3 Download
More hit songs from Harmonize;