LYRICS

Ibraah – Chozi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Ibraah - Chozi
Ibraah – Chozi Lyrics

Tanzanian recording artist and Konde Music World Wide serial hitmaker Ibraah have released a new hits song titled Chozi, number three song from Love Season Extended playlist.

SIMILAR: Ibraah – Copy & Paste

Chozi Lyrics by Ibraah

[Intro]
Chinga chinga, naomba tena mapenzi (Yeah)

[Verse 1]
Nilijitoa, nikawekeza nguvu na akili
Kumbe sikujua, nilikuwa najisumbua tu
Akili ikawaza ndoa, hata kama alikuwa bize
Sikuchoka kumsubiri—ningejua, moyo ungekoma
Ningejua mwenzenu leo…

[Verse 2]
Mwana, kulifind nimelipata
Kumbe hata penzi letu amelifanya kichaka
Si anajificha tu kwa muda
Hataki maisha nami, anazuga

Kumbe huko nje ananiona mi takataka
Najipendekeza, hakunitaka
Tunaishi kwa mipaka
Najutia muda—mi nimepoteza muda

[Pre-Chorus]
Kumbe alikuwa anachati na wengine
Muda anawapa wengine
Naona kampata mwingine
Na mi nina moyo, sio mashine
Uenda sio riziki
Pengine niache, nikatafute pengine
Naye atafute mwingine
Japo alifanya nijinyime… (mpenzi)

[Chorus]
Nimemfumania, fumania simu ya mpenzi wangu—weeeh!
Ndiyo chanzo cha chozi langu
Nimeifumania, fumania simu ya mwenza wangu
Ndiyo chanzo cha chozi langu
Ndiyo chanzo cha chozi langu—weeeh!

[Bridge]
Chozi nikifuta kushoto, linadondoka kulia
Maumivu—kila nikifikiria mabaya aliyonifanyia, naumia (yeeeh)
Hata kusamehe, naona ni utoto
Maana alinikusudia
Naogopa yasije jirudia
Apite kushoto, mi ni wa kulia…

Ibraah – Chozi Mp3 Download

More hits song from Ibraah;

Leave a Comment