LYRICS

Ibraah – Copy & Paste Lyrics

MP3 DOWNLOAD Ibraah - Copy & Paste

Tanzanian recording artist and Konde Music World Wide serial hitmaker Ibraah have released a new hits song titled Copy & Paste.

SIMILAR: Ibraah – Nafunga Mwaka

Copy & Paste Lyrics by Ibraah

Kamaaa
Gilly twende
Shout out to my cruel

Tuko gang gang
Konde gang gang
Oya weee oya
Shout out to my baby

Picha linaanza kama ndoto
Najiona kama ndio nimezaliwa
Nilicho gundua dunia ni utoto
Nilipo gundua mi maiti mtarajiwa
Dunia inatisha wakati wewe unapambana kusali

Kuna wanga wanakuombea ufeli
Riziki ndio kisa
Wanakabana wanayongana
Wambie kama life boti haachwi mtu feli
Wanangu mtaji pumzi si unapumua (tunapumua mwanetu
Struggle za life we si unajua (tunazijua mwanetu)
Wanangu wa temeke waliimba kamua

Life si unajua unajua (ni kukamua mwanetu)
Life ni ku run run shida za kitaan i taani (oya)
Kwani asizijua ni nani
Iwe nyeusi ama kijani kwenye riziki hakuna utani
Kama geto tunafua (ni kukamua mwanetu) oya

Ni ku copy na ku paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya wee, oya oya
Oya wana ni copy na ku paste

Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya wee, oya oya

Gilbert mchizi wa tandale
Alikuwa anauza mihogo koko sikuhizi anaishi madale (amejipata)
Fata ndoto zako usifate za wale watakupoteza
Ngumi ya kichwa chapa kalale (ni utata)
Pakanja pakanja refarii na kiranja
Sister duu kala modo, brother men kapaka wanja
Vunga ukitukuta viwanja jicho jekundu (yebaaaa oya wee)
Japo hatujakula ganja
Wanangu mtaji pumzi si unapumua (tunapumua mwanetu)
Struggle za life we si unajua (tunazijua mwanetu)
Wanangu wa temeke waliimba kamua

Life si unajua unajua (ni kukamua mwanetu)
Life ni ku run run shida za kitaan i taani (oya)
Kwani asizijua ni nani
Iwe nyeusi ama kijani kwenye riziki hakuna utani
Kama geto tunafua (ni kukamua mwanetu) oya

Ni ku copy na ku paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa bongo
Ana copy ana paste

Oya wee, oya oya
Oya wana ni copy na ku paste
Ghafla maisha yamekuwa mepesi
Mchizi wa bongo
Ana copy ana paste
Oya wee, oya oya

Ibraah – Copy & Paste Mp3 Download

More hits song from Ibraah;

Leave a Comment