Jay Melody Ft Mwana FA – Tila Lila Lyric
A young talented Tanzanian boy raised in the slams of Tandale Kwa Mtogole he has the street hustle spirit in him, commonly known as the singer and composer Jay Melody released a new banger tagged Tila Lila, a number ten song from his new album titled Addition Album.
SIMILAR: Jay Melody – Wa Pekee Yangu
Tila Lila Lyrics by Jay Melody Ft Mwana FA
Zheeeeeyy… Once Again!
Olaaah!
[Verse 1]
Mi nshakwambia, mimi nshakwambia
Siwezi mambo kukurupukia
Una plan za watoto na ndoa here here
Kama hujalewa, nikuongezee beer
Kwenye haya mambo wenzako wanaumia
Vilio… au haujasikia?
Tumeonana siku moja, unaleta hisia
Hayo mambo siyapendi
[Pre-Chorus]
Je, utafahamu vipi kama napenda vanilla?
Utafahamu vipi napenda mpira?
Na je, utafahamu vipi kama napenda kuzira
Ama kulewa… tila lila?
Je, utafahamu vipi kama napenda vanilla?
Utafahamu vipi napenda mpira?
Na je, utafahamu vipi kama napenda kuzira
Ama kulewa… tila lila?
[Chorus]
Jamani tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Au kulewa tila lila
Jamani tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Au kulewa tila lila
[Verse 2]
Once again!
Kwani utao lini bado niponipo kwanza?
Unasema bado nipo, nipo sana
Umaniona njiwa, unanitega kwa mtama – aaah ooooh!
Kama unanicha, niache
Nifanye mambo mengine
Nipe nafasi nipende viumbe wengine
Unaiona potential, na unaidai mpaka mwisho
Unaing’ang’ania line – leo leo, hungoli kesho
Nikisema ntakuoa kwa sasa, nakudanganya
Tunza moyo wako, atatokea tu kijana
Unaniita tu mpenzi, na mapenzi yenyewe hakuna
Jichunge we mtoto, zitafika tu hizo zama
Vilio ni vingi na huja sababu ya haraka
Pupa zinaponza watu – sio kuku, sio paka
Kama nitafika, mtaniona mapema
Sina kona kona – nikitaka ntasema
Unawahi wapi? Acha kuikimbiza shari
(Simidat!)
Na uambiwe mara ngapi hii habari?
[Bridge / Outro]
Kabla sijaondoka, nikutakie kila la kheri
Sichezi ngumu kuipata – nisipatikane kweli
[Pre-Chorus – Repeat]
Je, utafahamu vipi kama napenda vanilla?
Utafahamu vipi napenda mpira?
Na je, utafahamu vipi kama napenda kuzira
Ama kulewa… tila lila?
[Chorus – Repeat]
Jamani tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Au kulewa tila lila
Jamani tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Tila lila (tila lila)
Au kulewa tila lila
Once again…
Jay Melody Ft Mwana FA – Tila Lila Mp3 Download
More hit songs from Jay Melody;