Kontawa Ft Harmonize – Binadamu Lyrics
LYRICS

Kontawa Ft Harmonize – Binadamu Lyrics

MP3 DOWNLOAD Kontawa Ft Harmonize - Binadamu
Kontawa Ft Harmonize – Binadamu Lyrics

Kontawa, the artistic alias of Abdu Hamid Said, a Tanzanian Bongo Flava recording artist, actor, and entrepreneur. Delighting his fans and music enthusiasts, he has recently unveiled his latest musical venture titled Binadamu, Featuring Harmonize.

SIMILAR: Kontawa Ft Billnass – Chegu

Binadamu Lyrics by Kontawa Ft Harmonize

Zara Boy pass Me the weed
Am about to say something shit nigga
bomb claaaap
Me nachekaga tuh

Ukiuliza kiatu ndo kitakwambia
Ni mambo mangapi Me nimepitia
Siwez rudi nyuma sijakalili njia yeeeh
Eeh nishakutana na mambo mengi ya
Dunia ndo maana hapa nilipo nikikuamulia
Hushindi hata ukivaa nguo za kushindiaaah

Eeh hamtaki kutuona mbele
Kwani wenzetu mnatakaje
Tulikotoka tulimwagiwa maji ya maharage
Tnatuombia mabaya Kwani si
tuliwafanyaje tumekoswa na
vibaka mnaomba tuhonge
ili tukabe

na Kuna vitu mnavifanya
bhn hamfanyi poa kwa mawazo yenu
Mnadhani mnanikomoa
Kila nikianzisha penzi mnapanga kulibomoa au
mnataka Yesu arudi akute bado sijaoaah

Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujumaa
wapo wanaotutegemea
Nyie mtauwaaah

Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujumaa
Wapo wanaotutegemea
Nyie mtauwaaah

Ukidhani unanikomoa Mm
Nyuma Kuna wengi usio wajua
Usiombe wapige goti chiniii
Wakusomee Duah Men

Alhadulilah Mungu nashukuru
Pumzi unanipa silipi ushuru
Nipate nikose siwezi kufuru
Uzuri umeniumba tembo na sio kunguru
Yeah

Sina uwoga
Me ni Maji wasipo ninywa watanioga
Na wakijisumbua kuniroga
Watapoteza muda kama
alomtahiri shoga

Binadam bwana
ety yeh ndo kakupa upofu na
yupo hadharani anasema kuwa uyaone
Binadam bwana
anaweza kukupa matibabu na
kwenye Duah zake anakuombea kwa Mungu usiponee
Binadam bwana eehiii

Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujumaa
wapo wanaotutegemea nyie mtauwaaah

Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujumaa
wapo wanaotutegemea nyie mtauwaaah

ukiniletea u B.I.G nakuletea u PAC
usinitishie uchawi
Me mwenyewe Illuminati
Binadam Wana mambo ya kiwaki
unaweza ukang’oka meno
wakakuletea mswaki w

Wakusimama na Me wote walikaa
Leo wanashangaa ng’ombe wa maskini amezaa
ukinichukia Me umeuchukia mtaa
mnaongoja nifeli niko pale nimekaa

Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujumaa
wapo wanaotutegemea nyie mtauwaaah

Tuoneane hurumaa
Punguzeni hujumaa
wapo wanaotutegemea nyie mtauwaaah

Konde boy Call Me no one no one
is Konde Music World

Kontawa Ft Harmonize – Binadamu Mp3 Download

Also, Check out More Hits Song From Kontawa;

Leave a Comment