LYRICS

Kontawa Ft Ibraah – Tangazo Lyrics

MP3 DOWNLOAD Kontawa Ft Ibraah - Tangazo
Kontawa Ft Ibraah – Tangazo Lyrics

Kontawa, the artistic alias of Abdu Hamid Said, a Tanzanian Bongo Flava recording artist, actor, and entrepreneur. Delighting his fans and music enthusiasts, he has recently unveiled his latest musical venture titled Tangazo, Featuring Ibraah.

SIMILAR: Kontawa Ft Harmonize – Binadamu

Tangazo Lyrics by Kontawa Ft Ibraah

Mmmh oooh
Ooooh noh
Me nachekaga tu…!
Chinga… ooh eeh
Eeeh

Mkinipokonya huyu siwafichi, nafanya fujo.
Kipindi watu wananiona mzigo,
Ndo kipindi ye alinitunuku mzigo.
So mkimchukua huyu siwafichi naluka judo.
Mwingine kama huyu hakuna, ukibisha nenda uka Google.

Wakumzidi baby wangu simuoni,
Mtu anaona mpaka siku za usoni.
Zambi hana hata ukimwangalia machoni,
Akifa kifo cha mende anaenda peponi.

Oooh nah nah…!
Kama utani, nimempata yeye,
Huko ndani natangaza…

TANGAZO!! TANGAZO!!
Nimempata wakwangu, wakuishi naye, nitazeeka naye.

TANGAZO!!

Oooh mama mama
Oooh nana nana
Oooh oooh aaah

Kwake battery low nimezima,
Nimependa nimezama mazima.
Urefu gani me sijui kina, kila nikipima aaah.
Mwenzenu na-enjoy, I’m the winner.
Napata breakfast hadi dinner.
Michezo flan ya kiutu uzima, mwenzenu jeuri sina eeh.

Uuuh, yes I don’t need else somebody.
Me na yeye tumetoka mbali.
Ukituboa twaama sayari, me na yeye.
Yes, we don’t need, don’t need nobody.
Me na ye tunadalika ki-darling.
Kifo cha mende ki chali chali, me na yeye.

Uuh aah eeh
Kama utanii, nimempata yeye.
Yuko ndaniii, natangaza…

TANGAZO!! TANGAZO!!
Nimempata wakwangu, wakuishi naye, nitazeeka naye.
TANGAZO!!

Kontawa Ft Ibraah – Tangazo Mp3 Download

Also, Check out More Hits Song From Kontawa;

Leave a Comment