Kusah - Mama Lao Lyrics
LYRICS

Kusah – Mama Lao Lyrics

MP3 DOWNLOAD Kusah – Mama Lao
Kusah – Mama Lao Lyrics

Tanzanian Bongo Fleva’s talented recording artist, Kusah came through with another single-tagged Mama Lao. Below are the Mama Lao Lyrics written and performed by Kusah.

SIMILAR: Kusah – Nakupenda Part 1

Mama Lao Lyrics by Kusah

Yeye hakutaka pesa alitaka furaha
Nami nikampatia
Kwa yale madeko mtoto akaja
Kusah nitakusalia

Unapokwenda nami nipo
Nimekubali yapitishwe maandiko
Imani yangu kwako ipo
Mimi nawe kitutenganishe kifo

Acha wa vijora wapambe (Ayee)
Baby acha watuchambe (Ayee)
Wa kutunang’a watunang’e (Ayee)
Penzi letu tulipambe (Ayee)

We ndo mama lao, mama lao
We ndo mama lao, mama lao

Mwenzenu kanipenda
Na moyoni nina pete
Kasema niwe naye kayachoka maseke
Kachoka yale mangumi na kupigwa mateke

Kasema ye hawezi kaukata utepe
Akanikaba shingo umemkaba roho
Ni penzi la kishindo la kikomando
Akikaa ukikisima twaijaza ndoo
Halloo, loo loo loo

Acha wa vijora wapambe (Ayee)
Baby acha watuchambe (Ayee)
Wa kutunang’a watunang’e (Ayee)
Penzi letu tulipambe (Ayee)

We ndo mama lao, mama lao
We ndo mama lao, mama lao
Achana nao!

We ndo mama lao, mama lao
We ndo mama lao, mama lao

Kusah – Mama Lao Mp3 Download

Get More Hits Song From Kusah;

Leave a Comment