Lady JayDee Ft Mr. Blue – Wangu Lyrics — kichwahits
LYRICS

Lady JayDee Ft Mr. Blue – Wangu Lyrics

MP3 DOWNLOAD Lady JayDee Ft Mr Blue - Wangu
Lady JayDee Ft Mr. Blue – Wangu Lyrics

Tanzanian singer specializing in the R&B, Zouk, and Afro Pop famous known as Lady Jaydee drop a new hit song titled Wangu, Featuring A top Tanzanian rap artist and serial hitmaker, Mr. Blue

SIMILAR: Lady Jaydee Ft Rama Dee – Suluhu

Wangu Lyrics by Lady JayDee Ft Mr. Blue

Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo

Verse 1:
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaah aaah
Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua
Na moyo giza nene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua aaah

Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo

Verse 2

Yule fedha, huyu mvuto
Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Huyu mkubwa yule mdogo
Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka jubua
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka jubua aaah

Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo

Rap:
Mr.Blue
Nilimpa penzi nikamjali kwa maradhi mavazi Na makazi aah
Kumbe mshenzi hana hadhi bure tu nampandisha ngazi
Nikamuweka wazi kwa paparazi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe sina demu naishi na jambazi mmh
Naziba huku kule pako wazi no!
Sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini no money no honey nimebaini wee
Kwanini naumia kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa paa

Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo

Lady JayDee Ft Mr. Blue – Wangu Mp3 Download

Chek More Track From Lady Jaydee;

Leave a Comment