Lady Jaydee – Mambo Matano Lyrics
Tanzanian singer specializing in R&B, Zouk, and Afro Pop famous known as Lady Jaydee dropped a new hit song titled Mambo Matano.
SIMILAR: Lady Jaydee – Usiusemee Moyo
Mambo Matano Lyrics by Lady Jaydee
Nazi alitia kwenye chai
Ghafla disco likaingia Mmasai
Kumbe mwenzake nili-focus mbali
Na kunifikia inataka utayari
Si alitaka mwenyewe kutengana na mimi
Hivi mwembamba ama mnene hebu semeni nyinyi
Na zile tambo za mujini pindi yupo na mimi
saa hizi viatu anachanganya na vyombo anatia kabatini
Mnasemaje huko yuko sawa mnieleze ama
Mnamuonaje anajikongoja doze-doze
Manasemaje huko yuko sawa mnielezee ama
Mnamuonaje anajikongoja dozedoze
Moja,
Mi huwaga sina presha
“Leo sisemi sana nina mambo Matano”
Mbili, Mjini sijaja kucheza
Leo sisemi sana nina mambo Matano
Tatu, sifundishwi kupenda
“Leo sisemi sana nina mambo matano”
Nne, Sirudishi Mateka
“Leo sisemi sana nina Mambo Matano”
Mi huwaga sina presha
“Leo sisemi sana nina mambo Matano”
Mbili, Mjini sijaja kucheza
“Leo sisemi sana nina mambo Matano”
Tatu, Sifundishwi kupenda
“Leo sisemi sana nina mambo matano”
Nne, Sirudishi mateka
“Leo sisemi sana nina Mambo Matano”
Tano, moyo wangu mi ni treasure…
Huku mwenzake na-enjoy naongezeka thamani
Hapa nilipo hamnitoi mana naiona amani
Naiona fursa
Naiona future
Nishaweka nukta (na-enjoy)
Naiona true love
Naliona huba na sipotezi mudaa,
Mnasemaje huko yuko sawa mnieleze ama
Mnamuonaje anajikongoja doze-doze
Manasemaje huko yuko sawa mnielezee ama
Mnamuonaje anajikongoja doze-doze
Moja, Mi huwaga sina presha
“Leo sisemi sana nina mambo matano”
Mbili, Mjini sijaja kucheza
Leo sisemi sana nina mambo matano
Tatu, sifundishwi kupenda
“Leo sisemi sana nina mambo matano”
Nne, Sirudishi mateka
“Leo sisemi sana nina Mambo Matano”
Mi huwaga sina presha
“Leo sisemi sana nina mambo Matano”
Mbili, Mjini sijaja kucheza
Leo sisemi sana nina mambo Matano
Tatu, Sifundishwi kupenda
“Leo sisemi sana nina mambo matano”
Nne, Sirudishi mateka
“Leo sisemi sana nina Mambo Matano”
Tano, moyo wangu mi ni treasure.
Lady Jaydee – Mambo Matano Mp3 Download
Check More Tracks From Lady Jaydee;