Lava Lava – Kilio Lyrics
LYRICS

Lava Lava – Kilio Lyrics

MP3 DOWNLOAD Lava Lava - Tuachane
Lava Lava – Kilio Lyrics

Tanzanian recording artist signed WCB Wasafi record label, Lava Lava is back with a new banger titled Kilio, produced by Lizer. Below are the Kilio Lyrics written and performed by Lava Lava.

SIMILAR: Lava Lava – Desh Desh Lyrics

Kilio Lyrics by Lava Lava

Ayooo laizer
Mhh-mh

Hali yangu mbaya
Hanifikirii akipata muda (akipata muda)
Moyo ameshaugawa
Pakacha penzi linavuja (limeshavuja)
Mwenzie napagawa nahisi uchizi
Na network haisomi (mh-mh)
Anayofanya si sawa
Nakosa usingizi
Mwili miwasho na vichomi (hi hi)

Mwambie kutwa mateso nasurubiwa
Mwenzie yatima wa penzi mwanamkiwa
Oh mie mapenzi ugonjwa nimezidiwa
Mie mwengine sioni kunitibia

Kilio oh kilio (kilio na penzi langu)
Kilio oh kilio (huruma hana)
Kilio oh kilio (Yarabi Mola wangu)
Kilio oh kilio (japo simama)

Mmmh ye ndo barafuu
Niliyemlia yamini
Pemba karafuu marashi yangu mwilini
Utamu wa ndafu mbona ameutia Quinn
Amenichezea rafu penzi amelikafini
Eeeh yeye anajivinjari
Mwenzake nadoda
Napata tu habari anagawa uroda
Tetemeko moyo kupenda uwoga
Najiepusha mbali kukwepa vioja

Mwambie kutwa mateso nasurubiwa
Mwenzie yatima wa penzi mwanamkiwa
Oh mie mapenzi ugonjwa nimezidiwa
Ni yeye mwengine sioni kunitibia

Kilio oh kilio (kilio na penzi langu)
Kilio oh kilio (huruma hana)
Kilio oh kilio (Yarabi Mola wangu)
Kilio oh kilio (japo simama)

Moyo wangu bado (mtekemteke) asinikondeshe
Mwenzake bado (mtekemteke) asinizeeshe
Mi mdogo bado (mtekemteke) asinikomaze roho
Moyo bado (mtekemteke) ih ih

Lava Lava – Kilio Mp3 Download

More hit song from Lava Lava;

Leave a Comment