Macvoice – Body Lyrics
Upcoming young Talent Bongo Flava recording artist signed under Next Level music, Mac Voice is here with a brand new hits song titled Body.
SIMILAR: Macvoice – Ukinichiti
Body Lyrics by Macvoice
Hivi niliachwa? Jamani
Mmmh Mmmmh
Naomba mnikumbushe
Mmana huyu wa sasa
Kafanya wa zamani nimtupe
Saivi presha sina
Stress sina
Wapi pana utulivu nije
Na shemeji yenu
Saivi presha sina
Stress sina
Wapi pana utulivu nije
Na shemeji yenu
Mana ananipatia
Mapenzi hisia
Nishajifia kwake
Sina maneno
Baby wangu Anabody
Anabody Anabody
Anabody Anabody
Anabody Anabody
Geuka waone hilo body
Hilo body hilo body
Hilo body hilo body
Chezesha body
Hilo body hilo body
Hmmmmh Mmmmh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neno na mtu
Iyeeeeeh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neno na mtu
Ila akilewa
Umlando Adiwele jagaimaster
Ayayayaya
Umlando Adiwele jagaimaster
Ila akilewa
Umlando Adiwele jagaimaster
Umlando Adiwele jagaimaster
Ayayayaya
Aniibie nani
Oooooh nani
Wakati nna vigezo vyote
Vya kuwa na yeye
Amdangie nani ?
Ooooh nani
Wakati na mihela yote
Ya kumuhonga yeye
Look at you at you
At you At you
You’re so beautiful my dear
Eeeeh
Look at you at you
At you At you
You’re so beautiful my dear
Eeeeh
Baby wangu Anabody
Anabody Anabody
Anabody Anabody
Anabody Anabody
Geuka waone hilo body
Hilo body hilo body
Hilo body hilo body
Chezesha body
Hilo body hilo body
Mmmmmmh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neno na mtu
Iyeeeeeh
Baby wangu ni mpole
Mtulivu hanaga neno na mtu
Ila akilewa
Umlando Adiwele jagaimaster
Ayayayaya
Umlando Adiwele jagaimaster
Ila akilewa
Umlando Adiwele jagaimaster
Umlando Adiwele jagaimaster
Ayayayaya
Macvoice – Body Mp3 Download
Other related tracks from Macvoice;