LYRICS

Marioo – Ha Ha Ha Lyrics

MP3 DOWNLOAD Marioo - Ha Ha Ha
Marioo – Ha Ha Ha Lyrics

Tanzanian fast-rising artist, Marioo is back again with another astonishing banger titled Ha Ha Ha.

SIMILAR: Marioo Ft Alikiba – Sober

Ha Ha Ha Lyrics by Marioo

Hahahahaha!
Kutoka alooo…

Nacheka kwa dharau (hahaha!)
Nawapandisha, nawashusha kama (hahaha!)
Nacheka kwa dharau (hahaha!)
Nawapandisha, nawashusha kama (hahaha!)

Mwanamke, mwanamke oooh
Mwanaume, mwanaume oooh
Mwanamke, mwanamke oooh
Mwanaume, mwanaume oooh

Mjini akili, nguvu —
Nenda shamba ukalime!
Huoni wenzako wajanja kina
Sniper Montana – silaha, pesa,
Mambo ya visu mwisho Tarime,
Watu wanashusha Madorime!

Kamanda usinipeleke,
Takupa buku 5!
Sekeseke lote kwa pafu 5,
Ketekete likua mtu 5…
Saa mbona naisha mwenyeweee!

Nacheka kwa dharau (hahaha!)
Nawapandisha, nawashusha kama (hahaha!)
Nacheka kwa dharau (hahaha!)
Nawapandisha, nawashusha kama (hahaha!)

Mwanamke, mwanamke oooh
Mwanaume, mwanaume oooh
Mwanamke, mwanamke oooh
Mwanaume, mwanaume oooh

Ye akimwaga mboga, mwaga ugali (bado poa!)
Akikucheat – mlipizie!
Akileta mbwai, leta mbwai – kwani vipi!?

Weee, uko hapa mpaka leo
Bado unalilia mapenzi!?
We mapuzi!
Michezo, michezo – hiyoooooo!

Mwanamke, mwanamke oooh
Mwanaume, mwanaume oooh
Nacheka kwa dharau (hahaha!)
Nawapandisha, nawashusha kama (hahaha!)

Marioo – Ha Ha Ha Mp3 Download

Check More Related Songs of Marioo;

Leave a Comment