Mbosso Ft Darassa – Kadada Lyrics
A Tanzanian artist, singer and songwriter, Mbosso has continued to impress fans with his unique style and creativity. Over the years, he has released several projects that showcase musical growth and versatility. His latest release titled Kadada featuring Darassa was produced by Lizer Classic.
SIMILAR: Mbosso Ft Liya – Your love
[Intro]
Kadada kamenona, nyuma kameumbwa kameshona eeh
Kadada kamenona, nyuma kameumbwa kameshona eeh
(It’s S2kizzy beiby)
[Verse 1]
Nataka niimbe na wewe, leo unisikilize kadada
Chonde dedede, dede moyo nitulize kadada
Kama ikiwa ya moto, nipe nipulize kadada
Mimi bwegege, gege kwako nimalize kadada
Eey akisema afungue duka kadada
We ona watu wataacha change
Utajikuta unachoma pesa tu baba
Watu wanateleza kizenji
Sura ya kisomali, shepu nyama nyama tele (tele)
Chachandu kachumbari, namchomea tetere (tele)
Putururu msonobari, namfungia kwa mbele (mbele)
Kulia nina rosary, kushoto fundo la ndele (ndele)
[Pre-Chorus]
Adana, taratibu usinikimbize basi
Adana, mi mnyonge sijazoea gasi
[Chorus]
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Na Mungu kazi ya kuumba anajua)
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Kisura kama jua linatua)
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Vile nina kipini cha pua)
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Mmmh amazing, amazing)
Kadada kamenona, nyuma kameumbwa kameshona eeh
Kadada kamenona, nyuma kameumbwa kameshona eeh
[Verse 2]
Akiba ana nywele, ama akiziachia (kadada kadada)
Unalewa bila kunywa, akikuangalia (kadada kadada)
Anataka kunipa ajifanye mchoyo
Hata kuniendesha endesha kitoyo
Anavyotingisha tingisha yoyoyo
Hata kunidatisha datisha nifollow
Kwa kupendeza kama anakomoa
Hata mademu wenzake marks wanatoa
Mwana hajapaka make-up kapoa
Sasa usimkute ameshajipodoa podoa
Kingine nampendea mtu wa fashion fashion
Mambo flani flani ya kisasa
Subiri uone action action
Akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa
[Bridge]
Sura ya kisomali, shepu nyama nyama tele (tele)
Chachandu kachumbari, namchomea tetere (tele)
Putururu msonobari, namfungia kwa mbele (mbele)
Kulia nina rosary, kushoto fundo la ndele (ndele)
Adana, taratibu usinikimbize basi
Adana, mi mnyonge sijazoea gasi
[Chorus]
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Na Mungu kazi ya kuumba anajua)
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Kisura kama jua linatua)
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Vile nina kipini cha pua)
Mungu kamuumba kadada, kadada
(Mmmh amazing, amazing)
Kadada kamenona, nyuma kameumbwa kameshona eeh
Kadada kamenona, nyuma kameumbwa kameshona eeh
[Outro]
Kingine nampendea mtu wa fashion fashion
Mambo flani flani ya kisasa
Subiri uone action action
Akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa
(Ka Mix Lizer)
Mbosso Ft Darassa – Kadada Mp3 Download
Also, Check out More Hits Song From Mbosso;