Mbosso – Tena Lyrics
Former WCB Wasafi Records signee and highly talented Tanzanian artist Mbosso returns with another soulful track titled “Tena”, from his newly released Extended Play (EP) project, Room Number 3.
SIMILAR: Mbosso – Nusu Saa
Mbosso – Tena Lyrics
Jasho lilinitoka mwenzenu hata kwenye AC,
Yule niliesema shemeni yenu alinipandisha BP.
Ngumi mkononi, kuvaana maungoni, mimi sijazoea,
Yanamtoka mdomoni, nakosa silioni,
Mwezangu ananifokea, oooh Nono.
Kwake mi kurudi tena, hilo haliwezekani,
Mimi kumpenda tena, si bora tu nifuge nyani.
Kwake mi kurudi tena, hilo haliwezekani,
Mimi kumpenda tena, si bora tu nifuge nyani.
Mambo ya kulilia mapenzi,
Ni miaka ya tisini kushuka chini,
Watoto wa Elfu mbili hawawezi hayo mambo,
Hilo uweke akilini…
Ngumi mkononi, kuvaana maungoni, mimi sijazoea,
Yanamtoka mdomoni, nakosa silioni,
Mwezangu ananifokea, oooh Nono.
Kwake mi kurudi tena, hilo haliwezekani,
Mimi kumpenda tena, si bora tu nifuge nyani.
Kwake mi kurudi tena, (Ahaaahaa)
Hilo haliwezekani, (Haiwezekani)
Mimi kumpenda tena, si bora tu nifuge nyani.
(Siwezi) Kwake mi kurudi tena,
Hilo haliwezekani, (Hiyo ni dhambi)
Mimi kumpenda tena, (Mimi kumpa moyo wangu)
Si bora tu nifuge nyani, (Haramu).
Mbosso – Tena Mp3 Download
Also, Check out More Hits Song From Mbosso;