Mo music Ft Roma – Bajaji Lyrics
Tanzanian Recording artist, Mo Music teams up with Konektd to bless us with this amazing love banger titled Bajaji, Featuring Roma Mkatoliki.
SIMILAR: Mo Music Ft One Six – Am in to you
Bajaji Lyrics by Mo music Ft Roma
Moo
Bajaji mali yangu inayofanya inayokidhi
Na kukufanya ung’are
Punguza pozi mama
Magari yao yasifanye upagawe
Mi kwangu pesa ipo
Bajaji yangu ipo utalewa tilalilaa (baby)
Mi kwangu upendo upo
Bodaboda yangu ipo mimi nawe tilalila
Penzi kilo mita mia asilimia mia
Tena sitojutia
Na hilo wowooo kwenye bajaji
mi nakata mitaji
Chagua usafiri baby
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Bajaji yangu ya kibitozi
Mtoto punguza mapozi
Mikao yako ya kichokozi
Mimi kwako ni mkombozi
Na mi ni mkombozi wa hii safari
Msafiri jione upo huru
Penzi kikohozi nabanja hatari so usikudhuru
Achana na wacheza kamari wenye pesa za kufuru
Ni madalali wa hizo ferrari zisizo na ushuru
Sa si jui unakwama wapi
Usinipe mkuki hii ni vita ya bunduki
Siwezi ingia na manati
Anaweza akaendesha ferari na asiziweze
serekasi so potelea mbali shetani usimpe nafasi
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Kama utapanda boda au bajaji
Ujihisi Upo na ferrari
Mo music Ft Roma – Bajaji Mp3 Download
More similar hits song from Mo Music;