Msodoki Young Killer Ft Walid - Nahisi Lyrics
LYRICS

Msodoki Young Killer Ft Walid – Nahisi Lyrics

MP3 DOWNLOAD Msodoki Young Killer Ft Walid - Nahisi
Msodoki Young Killer Ft Walid – Nahisi Lyrics

Tanzania Hip Pop raper famous as Young Killer Msodoki the hitmaker of Dear Gambe comes up with the new hit song titled Nahisi, Featuring a Tanzanian artist, singer, and songwriter Walid.  Below are the Nahisi Lyrics written and performed by Msodoki Young Killer and Walid.

SIMILAR: Young Killer Msodoki – Sinaga Swagga III Lyrics

Nahisi Lyrics by Msodoki Young Killer Ft Walid

Nahisi ka tushaonana zamani
Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali
Na si kwa ulevi
Ila nayalaumu macho yangu
Naomba unikumbushe jina lako ni nani?

Ha!Nimesharealize you are beatiful sexy
When I close my eyes, I see your face
For the first time nahisi kwenda mitandao
Before kumeet mlimani City ni we wanao

Then tukaenda klabu ukawa unapita pita
Unanipima kiuno na mbavu nikawa nashika shika
Nikaomba uwe wa ubavu ukawa unasita sita
Unanipa mdomo na shavu nikapiga lita
Alafu ukaondoka mamacita

Nahisi ka tushaonana zamani
Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali
Na si kwa ulevi
Ila nayalaumu macho yangu
Naomba unikumbushe jina lako ni nani?

Huh, kuna siku pale kwenye bucha, nakuita unang’ata kucha
Ukayeyusha basi sijalala usiku kucha
Pandisha pedo pusha, aah-ah nyonga zungusha
Unaonekana kitandani huwezi niangusha

Umenidilute, soda na chai
Sikupi nafasi unitese ka najinyonga kwa tai fupi
Unakaa mtaa upi? Au pale Kailuki
Ulipokuwa na mama cookie

Ile siku ulikuwa na nywele ndefu
Unacheza peku, 
Unazungusha unaringa

Nilikutamani upajue kwetu
Uonane na bibi yetu
Ila nikakuita ukaringa

Nahisi ka tushaonana zamani
Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali
Na si kwa ulevi
Ila nayalaumu macho yangu
Naomba unikumbushe jina lako ni nani?

Nahisi ka tushaonana zamani
Sura si ngeni naikumbuka kwa mbali
Na si kwa ulevi
Ila nayalaumu macho yangu
Naomba unikumbushe jina lako ni nani?

Msodoki Young Killer Ft Walid – Nahisi Mp3 Download

More hit song from Young Killer Msodoki;

Leave a Comment