Nandy Ft Billnass – Totorimi Lyrics
Top Tanzanian female artist, singer, and songwriter, Nandy came through with a brand new banger titled Totorimi!, Featuring her husband and Maboss hitmaker Billnass.
SIMILAR: Nandy Ft Billnass – Do me
Totorimi Lyrics by Nandy Ft Billnass
Ke bana ba
(S2kizzy baby)
Uh-eh, eh-yeah
The African Princess
Tulianza zamani, Bugana tena tukapendana na yeye
Tulianza zamani, utoto ujana kugombana kupatana nae
Akili nazo zimeshapoteana
Sijiwezi mazima mi’ kwake nyang’anyang’a
Nikimuona joto majasho kulowana
Nadata mazima mi’ mtoto wa mama
Ih, yananoga mapenzi (mapenzi)
Ni matamu mapenzi (mapenzi)
Mi’ moyo wangu ti-ti-ti-ti, ti-ti-ti-ti
Walimwengu hawapendi (hawapendi)
Washasemaga mengi (oh, mengi)
Eti naweza kukucheat, kukucheat
Aah, my totorimi, oh totorimi, totorimi
Aah, my totorimi, oh totorimi, totorimi
Aah, my totorimi, oh totorimi, totorimi
Nenga, ke bana ba
Nachokupendea wewe hujiskii
Hata na maneno yao huyasikii
Au mi’ siko sawa
Maneno yao hayapunguzi power
Watamaliza waganga na manabii
Hata wakuogee madawa hawakufiki
Au mi’ siko sawa
Maneno yao hayapunguzi power
Narudi na hii tena
Nikiachana na wewe mapenzi sirudii tena
Wengine hawanitakii mema
Story za uongo, madrama na masinema
Ay, hapendi pesa, hapendi show, ananipenda tu
Iwe chumbani, iwe jikoni ni mahaba full
Na akisema, “I love you” me “I love you, too”
Na ndo mana
Ih, yananoga mapenzi (mapenzi)
Ni matamu mapenzi (mapenzi)
Mi’ moyo wangu ti-ti-ti-ti, ti-ti-ti-ti
Walimwengu hawapendi (hawapendi)
Washasemaga mengi (oh, mengi)
Eti napenda kwichikwichi, kwichikwichi (Nenga)
Aah, my totorimi, oh totorimi, totorimi
Aah, my totorimi, oh totorimi, totorimi
Aah, my totorimi, oh totorimi, totorimi
Ih, yananoga mapenzi (mapenzi)
Ni matamu mapenzi (mapenzi)
Mi’ moyo wangu ti-ti-ti-ti, ti-ti-ti-ti
Walimwengu hawapendi (hawapendi)
Washasemaga mengi (oh, mengi)
Eti naweza kukucheat, kukucheat
(Kamix Lizer)
Nandy Ft Billnass – Totorimi Mp3 Download
Get More Hits Song From Nandy;