Nandy - Raha Lyrics
LYRICS

Nandy – Raha Lyrics

MP3 DOWNLOAD Nandy - Raha
Nandy – Raha Lyrics

Top Tanzanian female artist, singer, and songwriter, Nandy came through with a brand new banger titled Raha.

SIMILAR: Nandy – Mchumba

Raha Lyrics by Nandy

Nawaza ingekuaje kama ningekukosa
Nawaza
Inamaana hizi raha zote ningezikosa
Nawaza
Penzi limenikolea kama mtoto anashindwa tembea
Raha zimenibombea kwa mama nitakusemea
Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
Unichonipaga usidiriki kunyinma mi nideke
Penzi limetaradi oya halima acha nicheke
Nilale ama mi nisimame wima

Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui
Unanipa raha
Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha
Zidi kunifundisha mi sivijui
Unanipa raha
Nianze kukulisha ndo nile
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh
Oh oh oh oh oh oh oh

Hadi kucha zinaisha
Nikikuona nazing’ata
Unavyonizubanisha mi napagawa oyani tu
Tuache yote tisa, kumi nakupa limbwata
Unavyoniburudisha mi napagawa
Nakupenda unanipenda mpaka rahaa
Nikikuona tu nashiba sina njaa
Hili penzi limejawa na furaha
Wakikuiba natoa mtu kafara
Si wanasemaga penzi bonde na milima nipeleke
Unachonipa usidiriki kuninyima mi nideke
Penzi limetaradi oya halima acha nicheke
Nilale ama mi nisimame wima

Unanipa raha, nazidi kuwa mdogo mi sikui
Unanipa raha
Nifanye kitafunwa unile
Unanipa raha
Zidi kunifundisha mi sivijui
Unanipa raha
Nianze kukulisha ndo nile

Nandy – Raha Mp3 Download

Get More Hits Song From Nandy;

Leave a Comment