Navy kenzo Ft Diamond Platnumz – Katika Lyrics
LYRICS

Navy kenzo Ft Diamond Platnumz – Katika Lyrics

MP3 DOWNLOAD Navy kenzo Ft Diamond Platnumz - Katika
Navy kenzo Ft Diamond Platnumz – Katika Lyrics

A new hits song performed by Navy Kenzo Featuring A top Tanzanian recording artist and WCB Wasafi serial hit sing maker, Boss Diamond Platnumz a.k.a Simba

SIMILAR: Navy Kenzo – Chelewa Bokodo Lyrics

Katika Lyrics by Navy kenzo Ft Diamond Platnumz

Yeeeyee nooo noo
Nahreel on the beat

Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee

Nina midadi kayalumba(weee)
Kibao kata ukinyonga(ooonaaa),
Mfukoni namavumba (weee)
Rungu ndichi linasunta eeeeh,
Yani bo bo bo o o
Kana nikoshaga roh o o o
Yani nasimama dee de de de
Kakitingisha wowo wo wo o

Baby gal dance for me one time (Secretoo)
Miuno feni kunata (Secretoo)
Tena jifunge na ngata (Secretoo)
Zile za kibaooo kataa (Secretoo)
Baby gal dance for me one time (Secretoo)
Miuno feni kunata (Secretoo)
Tena jifunge na ngata (Secretoo) Laalaalaalaalaaaaaeh

Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee (Aaaiiirrruubudaaan)

Yani katoto kandii, kako ndindindii…
Kamekazika yani ngingingii.
Nyuma mbwii! kako mbwimbwimbwii…
Kana misifa shangingingii
Nilikavizia kitamboo(aaaee)
Leo kamenasa chamboo (aaaee)
N’taakapakia na mgandoo (aaaee)
Nikajegeje ka Ramboo(aaaee)(Buuumbaaaiii)
Kana michezo ya ngomani sindimba lizombee…..
Nami nampatia za pwani Muhogo wa jang’ombee.

Yani ee e e e
Kana nikoshaga roh o o o…
Huwaga nasimama de de de de…
Kakitingisha wowo wo wo o..
Ooh yaaa oooh nabembea…
Yani siwezi kutembea…
Nchecheme na chechemea yani hadi na legea aki

Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee

Maumivu naugulia mwiba ukizama nahisi mateso,
Utamu na ng’ang’ania ndizi kwa nyama napata mchecheto.
Nakuna nazi kwa mkongojo(aaaee)
Naunga mchuzi wa sotojo(aaaee)
Uno la rosti rojorojo(aaaee)
Mikunjo fulani Wabogojo(aaaee)
Kibao kata tenteme teteme
Kilingeni kuzama uchutame,
Huwezipata wee mpaka usimamee
Haichagui mwembamba mnenee.

Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee
Katika katikaaeee

Navy kenzo Ft Diamond Platnumz – Katika Mp3 Download

Other Similar Hits From Navy Kenzo;

Leave a Comment