Nay wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema Lyrics Nay wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema Lyrics — kichwahits
LYRICS

Nay wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema Lyrics

MP3 DOWNLOAD Nay wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema
Nay wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema Lyrics

Free Nation966 serial hitmaker and Tanzanian Hip Hop recording artist, Nay Wa Mitego came through with another stunning banger titled Nitasema, Featuring Raydiace.

SIMILAR: Nay Wamitego – Wapi Huko

Nitasema Lyrics by Nay wa Mitego Ft Raydiace

Na jua moyoni mna ongea
Japo amtoi sauti
Niaba kwa yenu
Mimi ni sipika, mimi ni kipaza sauti

Kuna mficha maradhi
Na kuna mficha uchi
Ila mficha maradhi
Ana umbuliwa na umauti

Mbona kama niko rwanda
Kama niko congo
Mwanangu ana nikumbusha dady
Mbona hii ni bongo

Kwa sasa kutoka nyumbani salama ni uhakika
Ila kurudi nyumbani
Ilo halina uhakika

Watu wana tekwa
Watoto wana potea
Watu pigwa wana risasi
Hakuna anae wa shitakia

Tunaemtegemea kukemea wana sema hizi ni drama
Hivi angetekwa mwanao
Unge thubutu kusema drama

Sokoni majengo ni dodoma
Makao makuu ni ununio
Alipo tekwa Roma kumbukumbu ni ununio
Akauliwa ali kibao aka tupwa ununio
Atakae fwata naomba mbadilishe eneo

Wana kukuteka wanakuja kama polisi
Unatafutwa hupatikani vituo vyote vya polisi
Unaokotwa umekufua upelelezi upo polisi
Na polisi wanapewa kaz waitafute polisi

Niacheni niongee
Mi ndio sauti ya watu mtetezii wa watu
Sitaki taifa langu lipotee
Maana taifa ni watu
Maisha ni watu

Leo nita sema sema sema
Sito achakitu
Leo nita sema sema sema

Vijana viva tusilale tusilale
Tupambane jahazi lisizame
Tuache uoga kwenye haki tusimame
Hatuna watetezi tujitetee aah

Nyumbani aliondka baba
Kijiti akshika mama
Mama kweli sisi wanao ila jahazi lina zama
Na waza uwanja wa ndenge nawaza mbuga na miradi
Mikubwa ambayo iliyo jengwa na sasa haifanyi kazi

Marehem hasemwi vibaya alikuwa dingi mnazi
Movie ya staring wa chato part two ni kizimkazi
Karibuni tu bet wadogo zangu mnao hitimu
Maisha mtaani yame chachuka kama dagaa alie wekwa

Mapambano usiku mchana, hamna kanuni muhimu
Hakuna urafiki wala undugu
Kati ya mafanikio na elimu
Wahuni wachafua heshima ya jeshi hapa bongo
Kuvaa viatu vya wazazi wa binti wa yombo

Mlitaka afe sativa ila mungu akamponya
Hiki mnacho kipanda muda wake ukifika mtavuna
Yani mnajua mna kosea mnataka mpigiwe mkofi
Na mkikosea tukikosoa mnatutumia polisi

Wana kukuteka wanakuja kama polisi
Unatafutwa hupatikani vituo vyote vya polisi
Unaokotwa umekufua upelelezi upo polisi
Na polisi wanapewa kaz waitafute polisi

Niacheni niongee
Mi ndio sauti ya watu mtetezii wa watu
Sitaki taifa langu lipotee
Maana taifa ni watu
Maisha ni watu

Leo nita sema sema sema
Sito achakitu
Leo nita sema sema sema
Vijana viva tusilale tusilale
Tupambane jahazi lisizame
Tuache uoga kwenye haki tusimame
Hatuna watetezi tujitetee aah

Nay wa Mitego Ft Raydiace – Nitasema Mp3 Download

Also, check more tracks from Nay Wa Mitego;

Leave a Comment