Nuh Mziwanda Ft Alikiba - Jike Shupa Lyrics Nuh Mziwanda Ft Alikiba - Jike Shupa Lyrics — kichwahits
LYRICS

Nuh Mziwanda Ft Alikiba – Jike Shupa Lyrics

MP3 DOWNLOAD Nuh Mziwanda Ft Alikiba - Jike Shupa
Nuh Mziwanda Ft Alikiba Jike – Shupa Lyrics

Tanzanian Bongo Fleva recording artist, Naftal Mlawa better known as Nuh Mziwanda is here with another single-tagged Jike Shupa, Featuring Alikiba.

SIMILAR: Nuh Mziwanda – Natapatapa

Jike Shupa Lyrics by Nuh Mziwanda Ft Alikiba

Nipeleke kwa mganga , na mimi nataka wanga
maana mapenzi yamenikoroga kinoma,
anachanje chale mwili mzima,
nisimkumbuka ata jina, yule hasidi
gaidi wa moyo wangu

haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue

eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi..

ulijidai kunipima akili  kwamizani
kuniendesha kama toy, kukosa nuru kutwaa kuzama,
ukanikinai na aibu kunitia hadharani,
kuiniona sifahi masikini nimekosa nini.

(haya mapenzi basi, nimeyavulia shati,
kupendwa ni ajira, namimi sina vyeti)X 2
kule kukusifia, mabaya kukufichia,
mbele ya mama, oh baba, oh mama , oh lala

(mapenzi si ubondia, najikaza uku nateketea,
bora nijivue, nisijisumbue) 
eiii,
sasa basi , inatosha, nimekopesha mwili wangu,
bila kuogopa ,
kumbe jike shupa ,
ata kwenye karata, uku unaruka kila sehemu umeshapita,
sasa basi

Inauma 

Nuh Mziwanda Ft Alikiba – Jike Shupa Mp3 Download

More hit songs from Nuh Mziwanda;

Leave a Comment