LYRICS

Rosa Ree Ft Fid Q – Trust Lyrics

AUDIO Rosa Ree - Goddess Album MP3 DOWNLOAD
Rosa Ree Ft Fid Q – Trust Lyrics

Tanzanian Female Hip Hop recording artist, Rosa Ree came through with a brand new song titled Trust Featuring Fid Q, a number thirteen song from his album titled Goddess Album

SIMILAR: Rosa Ree – My Cherrie

Trust Lyrics by Rosa Ree Ft Fid Q

Hey bigman
Hauna vitu vingi man?
Na una move kama King man?
Na unang’ara bila bling.
jina lina ring
bigman tings

Hey bigman
Hauna vitu vingi man?
Na una move kama King man?
Na unang’ara bila bling..
jina lina ring
bigman tings

Kabla ya tik tok.. mie nina hit song nyingi
Kama kris kross..ninaenda kama big boss Fiddy
Huwa sijichoshi… wala si-force kingi
Sina mikosi.. mie ni king kong kama chiddy.. beenz
Mtoto wa mjini kama disco
Ninajiamaini mimi kabla ya mshiko
Na hii style ni kama kipofu mwenye pistol
Ni hatari akiikoki ujue ni kifo
Wenye vijicho hawakazi,hivyo maficho yako wazi.. hapa nilipo mtu kazi hawafikii
Watoto walito wanyamaze.. niko na people ile shazi.. hadi tip top mie mzazi kama Madee
wewe sio mshamba? You wanna chill with the big boys huuh
Tafuta kwanza mkwanja.. ili usiwaze kuhusu bill unapoji-enjoy
Sina chuki.. ninaomba penye wazushi nisiwemo
Nikikutusi.. ujue nimeishiwa tu maneno
Usiwe stupid.. kumbuka hata sheria ni msumeno
Ninawapa toothpicks.. Watoto watoe maziwa kwenye meno
Inawa-confuse kama lesbie mwenye upofu kwenye soko la sushi
Huu ni moto hawagusi
Kwa huu mchomoko hawanikuti
Hey shorty.. sigombanii mpira kama sina uhakika wa kupata goli.

Hey bigman
Hauna vitu vingi man?
Na una move kama King man?
Na unang’ara bila bling..
jina lina ring
bigman tings

Hey bigman
Hauna vitu vingi man?
Na una move kama King man?
Na unang’ara bila bling..
jina lina ring
bigman tings

Nimeshakula msoto.. njaa kali sikushibana
Ili kuishi ndoto zangu huwa silali mie hupigana
Na ninavyoviota kuna mahustla wanavifanya
Wanapata nilivyokosa nikaona kumbe inawezekana
Sasa sasa kama tik tik boom ninalipuka
Na sijali kama upo sitting room au ndani ya shuka
Mie ni Zaidi ya clique ya wagumu kwa huu mzuka
Pisi unataka sisi tudumu? Nitoe kwa chupa
Kiubishibishi kuishi haikatai au wewe umesanda?
Maichi ichi ichi dumbayi anga banga
Tanga tanga..kama mbwai mbwai
lambalamba chaichai
danga danga bye bye dada
Mie ni Big tymer sichuji kama Mannie fresh
Siwakomelei kama Dayna hawa groupies hawanigusi nyeti
Mke anayajua mahesabu haitafuti thamani ya eksi
Mungu wangu amejawa maajabu.. hanitupi, hunifanyia wepesi

Hey bigman
Hauna vitu vingi man?
Na una move kama King man?
Na unang’ara bila bling..
jina lina ring
bigman tings

Hey bigman
Hauna vitu vingi man?
Na una move kama King man?
Na unang’ara bila bling..
jina lina ring
bigman tings

Rosa Ree Ft Fid Q – Trust Mp3 Download

Other related tracks from Rosa Ree;

Leave a Comment