Toxic Ft Kontawa – Mwakani Lyrics
LYRICS

Toxic Ft Kontawa – Mwakani Lyrics

MP3 DOWNLOAD Toxic – Mwakani
Toxic Ft Kontawa – Mwakani Lyrics

Tanzanian hip-hop artist, singer, and songwriter better known as Genius Rapper and famous as Toxic is coming back with a new hits song titled Mwakani, Featuring Champion hitmaker Kontawa.

SIMILAR: Toxic – Bila Maji

Mwakani Lyrics by Toxic Ft Kontawa

Mwakani
Tutazamie mwakani
Tuelezee ya mwakani
Mungu akipenda tuonance mwakani

Mwakani
Tutazamie mwakani
Tuelezee ya mwakani
Mungu akipenda tuonance mwakani

Oya!, nipe kwanza darubini
Niuzoom huu mwakani
Maana watu naona wanaham nao sana
aaah eei it’s Toxic
Ninacho kiona mwakani
dah, unafiki sipendi
Naona bonge la connection lina trend
Namuona baby waka mwakani ana kibendi
Halafu sio yako ni ya yule just a friend
Wa insta wa tiktok nawaonea huzuni
Mwakani ukitoa buku unapata mb10
Na itawacost vitoto vya filauni

Wazee wa ma xxx movie za kirumi
Natazama mwakani naona mengi yanakuja
We endelea kumpost utaumizwa sio muda
Mapenzi yatachuja, yani hapa naziona pisi kibao
zinavyo rudisha tu I phone za wajuba
Naona amani tu, hakuna vita!
Ila kuna matukio ya kutisha
Ukidate tulia usilete mapichapicha
Maana bado naona watu wanapigwa shaba za kichwa
Mwakani cheche, ila pia kuna mazuri
Ukiendekeza ngono mwanangu utakuwa huli
So, kuwa mbahili hicho ndo ninacho kushauli
Maana bado pisi zinaendelea kula nauli
Naviona vingi sana vingine majanga
Mambo yanaenda taflani sivyo nilivyo panga
hata mwanba aliyekuahidi atakuoa kaweka ringtone
Ngoma ya mwana FA bado niponipo kwanza

Mwakani
Tutazamie mwakani
Tuelezee ya mwakani
Mungu akipenda tuonance mwakani

Mwakani
Tutazamie mwakani
Tuelezee ya mwakani
Mungu akipenda tuonance mwakani

Toxic Ft Kontawa – Mwakani Mp3 Download

More hits songs from Toxic;

Leave a Comment