Toxic – Jinai Lyrics
Tanzanian hip hop artist, singer, and songwriter better known as Genius Rapper and famous as Toxic is coming back with a new hits song titled Jinai.
SIMILAR: Toxic Ft One Six – Kifo
Jinai Lyrics by Toxic
sikuwazaga hata sikumoja maisha yake angeyakatisha
kwajinsitulipendana hatukuhitaji hata kuficha
ila chanzo Cha huu mkasa mwenzangu alibadilika
Leo nimemfyatua risasi Tena imemzama kwenye kichwa
wataniita muuaji wengine mtoa kafara
ila nilishatuma na yakutolea nauli kala
na yote Tisa siwaz
kumi nimemfuma na picha za utupu
za yule anaedai na kunitambulisha kwamba ndie babaake mzazi
mimi ndo nilikuwa kama boom mpaka chuonamaliza
m nalala njaa Ili avimbe na wale kuku kwa mrija
najiuliza huyu mwanamke ama kitunguu kila siku ananliza
huenda ningeendelea kumwacha angenimaliza
Leo siitaji wanasheria Wala msisumbue majaji
hivi ninakesi au nmesaidia taifa kumuua mdangaji
aliomba tutengane aliahid kimtenganishe kifo
so sidhani kama mi ni namakosa kumpiga pisto
maaskar msinipime finger print mi ndo nimeua huyu bint
kwasabu sikuwa na jinsi Kuna mademu ndo wanaofanya SI maniga hatuendelei
mi natamani hata huu mwili nitupe kwenye ufukwe ule wa bichi wa ostabey
contact zake kwenye simu zimejee uhasi juu mabingwa wa mikasi Omi mapafu ya farasi
Hana gari ananamba Hadi ya traffic jiulizeni alikuwa na mchumba ama anavyumba vya draft
kwangu maisha ameyakost sukar ya mabosi naogopa hata kupima ukimwi huenda ikawa positive
and mostly kaniaminisha na msimamo wa mwanamke anaejitambua kwengine akifika kumbe soch
kama huna wivu na huyajui mapenz you can never understand me aliniona fala nilipolia kuwa bila yeye I can’t have
nakama mmenikamata kwakosa LA kumuua niachieni labda kwa kosa la kutumia bunduki haina leseni.
Toxic – Jinai Mp3 Download
More hits song from Diamond Platnumz;