Walter Chilambo - Najivunia Lyrics Walter Chilambo - Najivunia Lyrics — kichwahits
LYRICS

Walter Chilambo – Najivunia Lyrics

MP3 DOWNLOAD Walter Chilambo - Najivunia
Walter Chilambo – Najivunia Lyrics

The hitmaker of Only You and the Bongo Star Search winner famous known as Walter Chilambo comes with a new song titled Najivunia.

SIMILAR: Walter Chilambo – Noel

Najivunia Lyrics by Walter Chilambo

Hivi kuwa na mali, magari ya kifahari
Bila amani {unajivunia nini?}
aaaaaaah

Pesa nyingi
Nyumba na biashara
bila amani….
yeeeiiiyeeeee
lallalaaaa

Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako
kwa maumivu tena umeshikilia imani zakoo
wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zakoo
Na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zakoo

{poleeee~e}

Duniani si pa kujivunia jina
wala mavazi ya heshima
Bali neno la uzima
Litatuongoza vyemaa

Mwenzenu mimi jamani
Najivunia kuwa na yesuu
Vya dunia nimeviacha mbali
Najivunia kuwa na yeye
Yesuu peke yake anasimama
Najivunia kuwa na yesu
Mfalme wa wafalmee
najivunia yesu
Najivunia kuwa na yeye

Yeye ni mwalimu wa walimu
ananifundisha vyema
Yeye ni tabibu wa karibu
napata tiba njema
yeye ni dereva {dereva}
anazijua njia zangu baba ooh
yeye ndiye shujaa
anishindia vita yangu babaooh

Si mali kitu kama
unaishi unalia ndani yako
kwa maumivu tena
umeshikilia imani zako
wamsahau mungu
eti unajivuna ni nguvu zako

Na shule umesoma tena
unajidanganyaa ni akili zako
poleeeeeeeheeeee

Duniani si pa kujivunia jina
wala mavazi ya heshima
bali neno la uzima
litatuongoza vyema
Mwenzenu mimi jamani
najivunia kuwa na yesu
vya dunia nimeviacha mbali
najivunia kuwa na yeye
yesu peke yake anasimama

najivunia kuwa na yesuu
Mfalme wa wafalme
najivunia yesuu
najivunia kuwa na yeyee

Kwa mana hii mungu
aliupenda ulimwengu
akamtoa mwanae wa pekee
ili kila mtu amwaminie asipotee
bali awe na uzima wa mileleeee
oooohhh~ooohoo

najivunia kuwa na yeeeeeeeee
mwenzenu mimi jamani
najivunia kuwa na yesu
vya dunia nimeviacha mbali
najivunia kuwa na yeye
yesu peke yake anasimama
najivunia kuwa na yesu
mmmh mi natembea kwa
maringo~ngo~ngo~ngo…
najivunia kuwa na yeyee

Walter Chilambo – Najivunia Mp3 Download

Also, check more tracks from Walter Chilambo;

Leave a Comment