Whozu – Shida Ndogo Ndogo Lyrics
Oscar John Lelo better known by his stage name Whozu, is a Tanzanian singer, songwriter, and Entertainer. Too Much Money presents a new hit banger from Whozu titled Shida Ndogo Ndogo.
SIMILAR: Whozu Ft Zuchu – Attention
Shida Ndogo Ndogo Lyrics by Whozu
Yeeh!
Unamjua Dingoo?
Too Too Too Much Money
S2kizzy baby
Verse 1
Sina shida ndogo ndogo
Jasho langu faida kwangu, aisee
Sina shida ndogo ndogo
Nadili na mishe zangu, mchana usiku
Sina shida ndogo ndogo
Omba jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo
Shida – Msije shtuka mkiniona
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
(Ndogo Shida!)
Verse 2
Huna cha kufanya? Njoo kwangu nikupe mishe
Umeshinda njaa? Kaa nami nikulishe
Nitalipa deni, nikukopeshe ukalipe
Wana pesa chafu? Waje kwangu wazisafishe
Asante Mungu kwa baraka, unanielewa
Nimesha waacha, sio level zao tena
Ziwe mbivu, ziwe mbichi – nazimenya
Ndo isha kwisha, sifanani nao tena
Nimeridhika, ona nilivyo nawiri
Maisha yamechange, mjomba msikariri
Tambua pesa ndugu yake kiburi
Shida kwa chawa wenye pesa – manguli
Chorus
Sina shida ndogo ndogo
Jasho langu faida kwangu, aisee
Sina shida ndogo ndogo
Nadili na mishe zangu, mchana usiku
Sina shida ndogo ndogo
Omba jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo
(Shida) Msije shtuka mkiniona
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Verse 3
Sasa ni muda wa kuvimba vimba
Na mabunda, mi simbazi
Change change ni za kwenu, nitake radhi
Najilipaga kwa siku siku, sio kwa mwezi
Now you know, mambo yangu top
Kwangu kutesa ni kwa zamzamzam
Ishiwa pesa – ukose hamhamham
Pata pesa – ni masham sham sham
Oya mambo ni bam bam bam – Oooh!
Shida zako tupa huko
Zikiisha niite
Kwenye mchezo bado mdogo
Naomba usinitishe
Bridge
Nimeridhika, ona nilivyo nawiri
Maisha yamechange, mjomba msikariri
Tambua pesa ndugu yake kiburi
Shida kwa chawa wenye pesa – manguli
Final Chorus
Sina shida ndogo ndogo
Jasho langu faida kwangu, aisee
Sina shida ndogo ndogo
Nadili na mishe zangu, mchana usiku
Sina shida ndogo ndogo
Omba jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo
(Too much Money)
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
Sina shida ndogo ndogo – sina!
(Alelelilalila)
Instrumental…
Whozu – Shida Ndogo Ndogo Mp3 Download
Also, check more tracks from Whozu;