Willy Paul Ft Alikiba, Ommy Dimpoz – Nishikile Lyrics
LYRICS

Willy Paul Ft Alikiba, Ommy Dimpoz – Nishikile Lyrics

MP3 DOWNLOAD Willy Paul Ft Alikiba, Ommy Dimpoz - Nishikile
Willy Paul Ft Alikiba, Ommy Dimpoz – Nishikile Lyrics

Kenyan artist and songwriter from Nairobi and Saldido International’s Boss, Willy Paul is here with a brand new banger-tagged Nishikile, Featuring Tanzanian artist Alikiba, Ommy Dimpoz.

SIMILAR: Willy Paul Ft Marioo – Na na an

Nishikile Lyrics by Willy Paul Ft Alikiba, Ommy Dimpoz

Oooooh, deka kifuani mwangu
Oooooh
Poze, poze (Tedy B)
Uh baby, nimekupenda kwa ndani
Nikupeleke Mombasa kwa Joho
Tukakule na raha mamaaa

Michezo ya zigizigi ya kiwillywilly mamaaa
Utapenda cherie ooh! nitavyojikaza
Nikaribie nikueleze, navyohisi moyoni mwangu bebe
Baby ukinitouch, me napigwa na butwaa

Tukigombana, me napatwa na huzunii
Ukiniacha mie, nitaumia moyonii
Njoo nikugawie, nikugurumishe
Uuuh beibee! nikugawie, nikugurumishe (uuh)

Basi mie, nikumbatie nishikilie (ah)
Deka kifuani mwangu
Nikumbatie nishikilie ee
Lala kifuani mwangu
Nikumbatie nishikilie (nikumbatie eee)
Deka kifuani mwangu nikumbatie nishikilie eee… lala kifuani mwangu

Kama moyo ungekuwa, kitabuuu
Ningekupa usome ee
Ooh! Kama moyo ungekuwa, kitabuuu
Ningekupa usomeee

Basi unipe majigijigi majigijigi
Twende wote mamaa
Michezo ya zigizigi ya kiwilly willy
Twende wote mamaa

Aleh unipe majigijigi majigijigi
Twende wote mamaa
Michezo ya zigizigi ya kiwilly willy
Twende wote mama

Basi mie nikumbatie, nishikilie (ah)
Deka kifuani mwangu
Nikumbatie, nishikilie ee
Lala kifuani mwangu
Nikumbatie (nikumbatie yeah) nishikilie
Deka kifuani mwangu
Nikumbatie, nishikilie ee

Jinsi ulivyo madoido lolo
Ni mwendo uleule eh
Na jinsi navyopenda ulivyoo
Ni mwendo uleule eh

Mh ma darling walolileeee yeh yeh yeh
Unanikosha roho oo
Ni mwendo wa madoido oh
My lover, my honey ooh
My baby, my sweet potato
My honey oh, my honey eh
Ni mwendo wa madoido ooh
Ma ah!!

My one and only lile lile ee
My sweet ooh ooooh nikumbatie eh
Lala kifuani mwangu wooouuuooh
Mwendo wa kinyongaaaaa woouuuoh
Ayahyahyah… uh baby
Ali oooh, Ali yoyo(ye baba, wallah tena, eyo)
Willy poze, poze
Dimpoz pozi kwa pozey
Poz kwa mapozi
Nikumbatie, nishikilie kifuani mwangu uuuh ll

Willy Paul Ft Alikiba, Ommy Dimpoz – Nishikile Mp3 Download

Check out More hit songs from Willy Paul;

Leave a Comment