Xouh – Moto Lyrics
LYRICS

Xouh – Moto Lyrics

MP3 DOWNLOAD Xouh - Moto
Xouh – Moto Lyrics

Tanzanian Bongo Fleva artist, singer, and songwriter in the Bongo Fleva genre Xouh, has made a much-anticipated return with his latest track titled Moto.

SIMILAR: Xouh – Niko Bize

Moto Lyrics by Xouh

Ooh Ooh!
Ooh Ooh!
Jeydrama On the Beat
Its Kazu Vibes

Umemifuta machozi unanipa amani
Jamani kupendwa ni raha
Nishakuweka moyoni umenitoa simanzi
Ligi ya mapenzi mgumu najua
Ila tutatoboa inshaallah
Umeliziba pengo tutimize malengo

Kwavile moyo wangu ushaumizwa sana
Sitokutenda kipenda roho
Hivo usiniumize mwana wa mwenzio
Mi ndo furaha ya mama yangu
Na uridhike jinsi nilivyo
Ndivyo Mungu alivojaalia ,
alivojaalia
(Aaah)

Na lisizime penzi chochea
Moto
Wana wasije niotea (Moto)
Nitunzie aibu yangu Mwandani wangu ni wewe

Na hadharani nasema
I , I love you
Sitojuta kusema
I, I love you

Nayajua mengi ila jua sijaali
(oooh)
Na nisipokuona mwenzako sina hali
Kwavile moyo wangu ushaumizwa sana
Sitokutenda kutenda kipenda roho
Hivo usiniumize mwana wa mwenzio
Mi ndo furaha ya mama yangu
Na uridhike jinsi nilivyo
Ndivyo Mungu alivojaalia , alivojaalia
(Aaah)

Na lisizime penzi chochea
Moto
Wana wasije niotea (Moto)
Nitunzie aibu yangu Mwandani wangu ni wewe
Na hadharani nasema
I , I love you
Sitojuta kusema
I, I love you

Xouh – Moto Mp3 Download

More hits songs from Xouh;

Leave a Comment