Zuchu Ft Diamond Platnumz – Wale Wale Lyrics Zuchu Ft Diamond Platnumz – Wale Wale Lyrics — kichwahits
LYRICS

Zuchu Ft Diamond Platnumz – Wale Wale Lyrics

MP3 DOWNLOAD Zuchu ft Diamond Platnumz - Wale Wale
Zuchu Ft Diamond Platnumz – Wale Wale Lyrics

Tanzanian fast-rising female artist and WCB Wasafi Records Diva, Zuchu came through with another stunning banger tagged Siji, Featuring a South African artist named Wale Wale, Featuring Diamond Platnumz.

SIMILAR: Zuchu Ft Diamond Platnumz – Cheche

Wale Wale Lyrics by Zuchu Ft Diamond Platnumz

INTRO

Sisi ndo wale wale
Mlio tukataa
Mkasema hatufiki mbalee (Na Simba lamaa)
Sasa tumejipata
Ni Zuchu chu chu chu chu
Hehehee (Ayo Trone) ai wewee Troniiiiii, heee!

VERSE

Ayayayaya ulivyonipiga juju
Ulidhani nitagwaya, hukujua nina Mungu
Ayayayayaya eti nile chukuchuku
Mambo yangu yako sawa
Nishashiba kukukuku
Hee! Chote ni choyo na sijalii
Ndio kina waumiza
Na Mungu wangu, (Na Mungu wangu)
Yu Ngangari, cheza nami atawamaliza
Karibu ntanunua gari nakuja kwenu
Itaneni muambizane mje mjae (Mama Sumaaa)
Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenu
Mi ndo yule mlikatazwa msicheze nae
Sisi ndo nani

CHORUS

Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Mlio tukataa (Mlio tukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mlio tukataa (Mlio tukataaa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!
Arerererere are tokoto tokoto
Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!

VERSE

Ooh eti ntakufa, kwani we utaishi milele
Nilipozitafuta, mbona mliniacha mwenyewe
Hizo chuki na pupa ooh, ndo zinofanya mchelewe
Kwa kushinda kutwa, roho mbaya na viherehere
Hee na mwaka huu
Mtaisaga rumba, eh kwanini
Maana nimemowomba Mungu mpaka nyumba
Na mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumba
Eeh waganga, waganga wenu wambieni wakoleze ndumba
Aeee oh! Binadamu ni waajabu sana, jaabu sana
Wana maneno ya kukatisha tamaa
Binadamu ni waajabu sanaaa
Wana matendo ya kuumiza sana
Walisema eti nna nuksi ya senti (Kapachuka)
Nyota yangu ya boda ya kwao ya jeti
Nani wa kunidate bega kama kenchi
Kudadeki zenu asa mbona mnakechi
Oooh sisi ndo walewale

CHORUS

Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)
Mliotukataa (Mliotukataa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata (Aii aaah hee)
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)
Mliotukataa (Mliotukataaa)
Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)
Sasa tumejipata aritikitiki tikitiki
Eeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!
Arerererere are tokoto tokoto
Tokoto tokoto tokoto tokoto hee!

Zuchu Ft Diamond Platnumz – Wale Wale Mp3 Download

Also, check more tracks from Zuchu;

Leave a Comment