LYRICS

Alikiba – Mama Lyrics

MP3 DOWNLOAD Alikiba - Mama
Alikiba – Mama Lyrics

Tanzanian singer-songwriter, footballer, and the owner of Kings Music label, Ali Saleh Kiba, better known as Alikiba came back with a new wonderful song titled, Mama.

SIMILAR: Alikiba – Tile

Mama Lyrics by Alikiba

Mmmhh
Mama yangu weeh
Mama Samia
(Moko), hmm

Umeshafika mwaka mmoja, umeumaliza
Ila speedi yako, imepitiliza
Na umetupa viongozi bora
Si wakuigiza (asante mama)
Ooh (asante mama)

Umetupa heshima
Tutakuezi kwa mapenzi
Umejaa wa hekima sana
Umejaa wa hekima

Dunia nzima, umetupanga kama traini
Umejaa wa hekima sana
Umejaa wa hekima mama

Baruti ziwake
Shamgwe zimwagwe
Umeupiga mwingi mama
Oh mwingi mama

Baruti ziwake iyee
Shamgwe zimwagwe
Umeupiga mwingi mama
Oh mwingi mama

Aaahh iyoyoo
Mama (aah), mama yangu mama (Mama Samia)
Mama, mama yetu mama (oh Samia)
Mama (eey), mama yangu mama (raisi wetu weeh)
Mama (mama), mama yetu mama (Mama Samia)

Ajira kwa vijana, umeimarisha
Royal Tour umejipa, umetupaisha
Tanzania miradi leo, inamiminika
Soko kimataifa, tunafamilika

Umetupa heshima
Tutakuezi kwa mapenzi
Umejaa wa hekima sana
Umejaa wa hekima

Dunia nzima, umetupanga kama traini
Umejaa wa hekima sana
Umejaa wa hekima mama

Baruti ziwake
Shamgwe zimwagwe
Umeupiga mwingi mama
Oh mwingi mama

Baruti ziwake iyee
Shamgwe zimwagwe
Umeupiga mwingi mama
Oh mwingi mama

Aaahh iyoyoo
Mama (aah), mama yangu mama (Mama Samia)
Mama, mama yetu mama (oh Samia)
Mama (eey), mama yangu mama (raisi wetu weeh)
Mama (mama), mama yetu mama (Mama Samia)

Alikiba – Mama Mp3 Download

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment