NEW AUDIO

Madhara ya Kupiga Punyeto

Madhara ya Kupiga Punyeto
Madhara ya Kupiga Punyeto

UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO
1.Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo.
2.Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza.
3.Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea.
Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza
4.Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi.
5.Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri.
6.Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena.
7.Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo.
8.Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito.

Leave a Comment