MP3 DOWNLOAD Dizasta Vina Ft Beno Mwampamba – Get Better
Edger Vicent Mwaipeta (born February 17, 1993), known professionally as Dizasta Vina is a Tanzanian rapper, songwriter, and record producer from Mbeya, Tanzania. Many of Dizasta Vina songs become very popular and trendy online with a great number of streaming and downloads.
Tanzanian hip hop musician and producer from Tanzania, Dizasta Vina unlocks a new song titled Get Better , Featuring Beno Mwampamba.
SIMILAR: Dizasta Vina Ft G Nako – Utaliimba Jina Langu
Dizasta Vina Ft Beno Mwampamba – Get Better Lyrics
Leo imeshakuwa jioni
Na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni
Hata dalili zake hatuzioni
Hivi vitu vinavunja imani
Vinaleta simanzi
Ila sisi ni simba wenye njaa kali
Bila windo hatulali
Tuna-claim watoto now hatukimbii mimba
Tunatunza pesa maana haivutii shida
Tunajua shida zina mipaka
Ni kama mvua kali na jua ni vipindi tu vya mwaka
Tunajua kesho haitasimama
Ikiwa tutaendelea kulalama
Na kulaumu kuhusu jana
Tunajua kuwa nyumbani kuna jambo
Ndio maana hatupigi bunda kwenda ng’ambo
Ndio, nyumbani hakuna hali, hakuna ari wala hakuna hela
Ila we know we will get better
See Full Dizasta Vina Ft Beno Mwampamba – Get Better Lyrics here
MP3 DOWNLOAD
More hit songs from Dizasta Vina;