NEW AUDIO

Dizasta Vina Ft G Nako – Utaliimba Jina Langu

MP3 DOWNLOAD Dizasta Vina Ft G Nako - Utaliimba Jina Langu
MP3 DOWNLOAD Dizasta Vina Ft G Nako – Utaliimba Jina Langu

Edger Vicent Mwaipeta (born February 17, 1993), known professionally as Dizasta Vina is a Tanzanian rapper, songwriter, and record producer from Mbeya, Tanzania. Many of Dizasta Vina songs become very popular and trendy online with a great number of streaming and downloads.

Tanzanian hip hop musician and producer from Tanzania, Dizasta Vina unlocks a new song titled Utaliimba Jina Langu, Featuring G Nako.

SIMILAR: Dizasta Vina – Fanani

Dizasta Vina Ft G Nako – Utaliimba Jina Langu Lyrics

Sitauona uzuri wa mataa
Maua na uturi au usafi wa suti nitayoivaa
Mtajadili kama nilifunzwa chuki na hii njaa
Au msamaha niliomba baada ya kuivunja mioyo kadhaa
Mikono yangu haitaishika sayari
Historia nitakuwa nimeimaliza tayari
Naenda upande wa pili, asili itanipiga kabali
Nitakuwa nimeimaliza safari
Maombi hayatakidhi nisimame soja
Nanyi mtaijua hadithi hii ya upande mmoja
Pesa na ustaa hautanibeba
Itaandikwa “mwisho wa kila shujaa ni jeneza”
Siwezi kimbia udhuru hata nikibadili njia
Nakuwa huru dhidi ya kufuru za hii dunia
Mwangaza hautafika himaya yangu
Je mtafurahi nikifa ama mtaliimba jina langu?

Siku hii iwakumbushe kuwa kesho mbali
Iwakumbushe havina maana pesa mjengo mkali
Vyeo urembo na pesa nyingi
Ni kiburi cha hii pumzi, pumzi ambayo ni temporary
Sijui Nitamwachia nani mama yangu
Ikiwa, nitaacha dini, itikadi ya chama changu
Cheo changu hakitakuwa na maana tena
Nitalala gizani japo mtajua nimelala pema

MP3 DOWNLOAD
kichwahits.com

More hit songs from Dizasta Vina;

Leave a Comment