MP3 DOWNLOAD Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu
Tanzanian recording artist and former Yamoto Band member currently signed under WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi better known as Mbosso, Release his first album ever tagged Definition of Love on Valentines Day.
Karibu, Track number Eight from the Hits album from Definition of Love Album by Mbosso featuring his Boss Diamond Platnumz famous known as Simba.
SIMILAR: Mbosso Ft Rayvanny – Pakua
Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu Lyrics
Ishafika saba sasa
tunakungojea,
imebaki miezi miwili tuuu hebu siku sogea
tunashauku na bashashaa,
Ya kukupokea,
Sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea
Mmmmmhhhhhhhhh.
Imani yangu inanituma unanisikiaaa
Babab yoooooo(baba yooo yoooo)
Nafuraha yangu dongo kumung’unya anapobugia
Mama yoooo yoooo (mamaaa yoooooo yoooo)
Tayari ni wazi wazi kuwa muda ushatawakar
Natamani uiseme zawadi,,, ila acha ninunue vigari
oooohhh kuna shangazi kibiti ka Mzee kikari
Ukiota meno ataleta viazi ule mihogo uwe ngangari
ule mihogo uwe ngangari.
See Full Mbosso Ft Diamond Platnumz – Karibu Lyrics here
MP3 DOWNLOAD
Also Chek More Hits Song From Mbosso;

