NEW AUDIO

Roma Mkatoliki Ft One Six – Story Ndiyo Itakayobakia

AUDIO Roma Mkatoliki - Nipeni Maua Yangu Album MP3 DOWNLOAD
MP3 DOWNLOAD Roma Mkatoliki Ft One Six – Story Ndiyo Itakayobakia

Ibrahim M. Mashana is popularly known as Roman Catholic, is a rapper artist from Tanzania, and has many songs that do very well. Many of Roma Mkatoliki’s songs become very popular and trendy online with a great number of streaming and downloads on Boomplay.

Roma, also known as Roma Mkatoliki is a Tanzanian-based artist/rapper/activist. Roma is arguably one of the best rapper in Tanzania drop a new song titled Story Ndiyo Itakayobakia, Featuring One Six, the number thirteen song from his new album titled Nipeni Maua Yangu Album.

SIMILAR: Roma Mkatoliki Ft Appy – Namuachia Mungu

Roma Mkatoliki Ft One Six – Story Ndiyo Itakayobakia Lyrics

Usinipite mwokozii
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite
Usinipite mwokozii
Unisikie
Unapozuru wengine
Usinipite

Nimelowa jasho haina mfano
Baridi ila naona joto
Chumba cha maungamo
Niko na baba paroko
Naungama kwa MUNGU wangu
Nawe Padri wangu
Sijaungama tangu mtoto
Na hizi ndio dhambi zangu
Kipindi nikiwa RPC mkoa wa Iringa
Niliuwa na nikaweka mahabusu walionipinga
Rushwa nilipokea nakiri
Na kweli nilikuwa katiri
Aliekataa nilimpa kesi na najua hakustahiri

MP3 DOWNLOAD
kichwahits.com

Check More Tracks From Roma Mkatoliki;

Leave a Comment