NEW AUDIO

Vanillah Ft Anjella – For You

MP3 DOWNLOAD Vanillah Ft Anjella – For You

Fanuel Phabian Peter. With a stage name Vanilla Music. A worldwide Flavour and a Young African Superstar. Proudly Tanzania born on 19th February 1996 and raised in Mwanza, R&B and Afropop singer and songwriter.

Tanzanian R&B and Afropop singer and songwriter, known as Vanillah Music, signed under King Music to drop a new hit song titled For You, Featuring Anjella.

SIMILAR: Vanillah – Unanisitiri

Vanillah Ft Anjella – For You Lyrics

Baby unajua kujiweka mapambo
Unajua kuyafanya mambo
Unajua kujiweka kando
Na mbaya tabia aah

Moyoni mwangu unayatoa mafundo
Siwezi ishi kufata mkumbo
Baby we umewazidi ng’ambo
Kwa mvuto asilia aah

Wanao wasifiaga wa-India
Eti kwamba wanavutia
Baby huenda hawajakujua
Maana wanakosea

See Full Vanillah Ft Anjella – For You Lyrics here

MP3 DOWNLOAD

Check More Hits Song Alikiba;

Leave a Comment