LIFESTYLE

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu Ndilo sababu ya nguvu yangu Tangulia pembeni mwa macho yake Asubuhi hii hadi usiku ujao

Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwaye hamu kunitoa, tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani nakusubiria! Luv u

Isikupite Hii: SMS 10 za kubembeleza na kuchochea mahaba

Jamani msg huwezi kunitumia, hata bipu nipate jua rohoni nimekuingia, ila ukata umekuingia. U hali gani dia?

Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,
lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe Uwe na Asubuhi Njema My love

Leave a Comment