MP3 DOWNLOAD Phina – Upo Nyonyo
Saraphina Michael, born on 5th July 1996, is popularly known by the stage name Phina. She began her music career after winning the Bongo Star Search competition, with her debut single titled In Love. Among her songs, the track that gave her major recognition is Upo Nyonyo, which introduced her widely in the Tanzanian Bongo Fleva music industry.
Tanzanian female artist, singer, and songwriter is better known as Phina comes up with a new hits song titled Upo Nyonyo.
SIMILAR: Saraphina Ft Ruby – Number One
Saraphina – Upo Nyonyo Lyrics
Shamba la babu, nalima
Nivune muhogo na shina
Ni weh
Tambarale mwa milima
Kufika kilele lazima
Nilishathubutu kupenda nisipopendwa
Lakini siachi, ooh siachi
Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda
Lakini siachi, ooh siachi
Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah
Mambo mwanana
Nimesitirika hewalah
Nimelipata bwana
Lakunidekeza nalala
Tumeridhiana sina
Muda wa kum chiti wala
Eeh
Nipo nyonyo
Nipo titi
(Aah nimejaaa tele)
Nalishwa vinono nipo fiti
(Aah, nimejaa tele)

