Lava Lava – Desh Desh Lyrics
LYRICS

Lava Lava – Desh Desh Lyrics

MP3 DOWNLOAD Lava Lava - Desh Desh
Lava Lava – Desh Desh Lyrics

Tanzanian recording artist signed WCB Wasafi record label, Lava Lava is back with a new banger titled Desh Desh, produced by Lizer. Below are the Desh Desh Lyrics written and performed by Lava Lava.

SIMILAR: Lava lava – Nitake nini

Desh Desh Lyrics by Lava Lava

Mola kammumba Hana Mfano Weee
Mzuri wa Sura na Roho Na Njema Tabia Iyaaaa.

Unyagoni Kafundwa kwa makungwi somo weee
Mahaba Kayajaza ndoo Yananimwagikia Iyaaaa
Natamani Nimtaje Hata Jina ila Naficha Naficha Naifanya siri yangu
Kina Fulani wale wakusigina mkaleta (mapicha)×2 akatoroka Ndege wangu
Si mrefu si mufupi (ah eh)
Si Mweupe Si Mweusi (ah eh)
Rangi Yake ni ya katikati
Kasema kwangu hafurukuti (ah eh)
Kwengine Anaogopa Nuksi (ah eh)
Mi ni wake milele Haniachi ndo maana

Nampenda Mpenda (nani)
Kijana mmoja (nani)
Amenifika Kwa roho
Makopakopa (kopa)
Nampenda Mpenda (nani)
Kijana mmoja (nani)
Ila Kumtaja oooh naogopa ogopa
Kwa jina namuhifadhi

Desh Desh Desh Desh, Msije kuninyakulia
Desh Desh Desh Desh, Kipenzi changu Jamani
Desh Desh Desh Desh, Mkaja kuniharibia
Desh Desh Desh, Penzi Likawa Mashakani
Nananaa! Nna Nna
Nananaaa! Nna Nna!
Nananaa! Nna Nna!

Najua Najua Roho Zinawauma Hampendi Kuona Mwenzenu Na Nawiri
Najua mwenzenu najua Mwakesha Kujituma Kutwa kwa masangoma
Yangu Kuyatabiri
Mlosema nimeachika Hainifiki mikosi Mola ndo mpaji
Nyongo Mtazitapika Mchomwe Jua la Utosi kesheni kunijaji
Mwenzenu kila kukicha kabla kupewa misosi Masaji masaji
Tunavyowakasirisha yani hata tukiposti hataki nimtag
Enhee si mtu wamagazeti wala page za udaku ilo mkae mjua
Hataki Taki Eenhe
Enheee mambo yake siri nyeti poleni washakunaku wala msijisumbue
Kumsachi sachi

Nampenda Mpenda (nani) Kijana mmoja (nani)
Kijana mmmoja (nani)
Amenifika kwa roho Makopa kopa (kopa)
Nampenda mpenda (nani)
Kijana mmoja (nani)
Ila kumtaja oooh naogopa ogopa
Kwa jina namuhifadhi

Desh Desh Desh Desh
Msije kuninyakulia Desh Desh Deeeesh
Kipenzi changu jamani
Desh Desh Desh Desh
Mkaja Kuniharibia
Desh desh Desh
Penzi likawa mashakani
Nananaa! Nna Nna!
Nananaa! Nna Nna!
Nanananaa! Nna! Nna!

Lava Lava – Desh Desh Mp3 Download

More hit song from Lava Lava;

Leave a Comment